Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

Kichwa cha habari MASHARIKI na kilichoandikwa na KUSINI.
 
Kichwa chahusika, huu ni utafiti wangu, japo kuwa kuna mtu atasema umetoa wapi chanzo cha taarifa, sasa hata uko unakotaka kuamini ni watu kama mimi tu, na ikiwezekana nimewazidi baadhi ya mambo.

Unajua, Afrika, tunashida sana, JF, story nyingi ni migegedo tu, lakini amini amini nakwambia, huyo Kirusi Corona akiingia hapa, tutadondoka kama kumbikumbi, yawezekana mimi sio mfuatiliaji mzuri wa habari, sijasikia chochote kuhusu preventive measures, kutoka katika Wizara ya Afya au Mambo ya Ndani, kupambana dhidi ya gonjwa hilo hatari la Corona, endapo litaingia hapa Tanzania, kupitia nchi jirani au Airport, kama serikali ina mikakati gani na imejipanga vipi endapo Corona itaingia Bongo! Au tunasubiri gonjwa liingie kwanza ndio tuanze kukimbizana.

Wabongo, tunaponeaga chupuchupu sana, dhidi ya haya magonjwa ya milipuko, huwa hatuna historia ya kuyapata, kama ebora nk, japokuwa Ebola ipo jirani, Congo na Uganda kama sijakosea, imagine Kipindupindu tu, kilivyotutoa jasho,

Tahadhari, najua viongozi wetu wamejisahau, wapo kupambana na wakina Zitto Kabwe na Lissu,mambo ya uchaguzi nk, Corona ikiingia hapa Tanzania, tumekwisha vile biashara zetu zinahusiana na China, Kariakoo yote ni Beijing, Shanghai na Guangzhou, tumekwisha wazee, nawambieni kweli, nimemaliza lengo langu ni kuwakumbusha.

Nawasilisha.
Corona virus havinanguvu kwa mtu mweusi. Umeshawai sikia mtu mweusi anakufa kwa mafua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyosikia ni kuwa 90% ya adults wanaokuwa exposed wanapona bila kujijua kutokana na Kinga zao za mwili, 10% acute na baadhi wachache ndio wanakuwa Chronic ambao ndio hao tunaona wanaougua homa ya ini.



Sent using Jamii Forums mobile app

Bado kuna maswali mengi from your point lakini at least umenipa mawazo mapya na pengine yanaweza elezea hili zaidi.. Shukrani mkuu
 
Yaan kitendo chakusema kuwa ww sio mfuatiliaji mzuri wa taarifa ya habari nimeacha kuendelea kusoma hapo hapo.
 
Kwa life style ya Dar huwa najiuliza inakuwaje homa ya ini haijashamiri sana. Ni Mungu ndio anaejua kwa kweli
Chanjo brother.Mnyonge mnyongen hakinyake mpeni chanjo ya homa ya inatolewa sana.akina mama wajawazito na watoto wakizaliw hawaikwepi hii Trust me kwa hili wadau wa afya wako makini sana.
 
Chanjo brother.Mnyonge mnyongen hakinyake mpeni chanjo ya homa ya inatolewa sana.akina mama wajawazito na watoto wakizaliw hawaikwepi hii Trust me kwa hili wadau wa afya wako makini sana.
Hapo nimekusoma budaa... japo sijui ile issue ulimaliza au ndo washakupiga lock
 
Wabongo, tunaponeaga chupuchupu sana, dhidi ya haya magonjwa ya milipuko,
Naona unaongea story za kijiweni:
Viral diseases are self limiting,
Some races have special immunity against commucable disease.

Waafrica milk yetu3inakinga imarA dhidi ya virus vinavyosababisha maradhi ya MAFIA, watu weupe3hawanahicho
 
Back
Top Bottom