Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

Kichwa chahusika, huu ni utafiti wangu, japo kuwa kuna mtu atasema umetoa wapi chanzo cha taarifa, sasa hata uko unakotaka kuamini ni watu kama mimi tu, na ikiwezekana nimewazidi baadhi ya mambo.

Unajua, Afrika, tunashida sana, JF, story nyingi ni migegedo tu, lakini amini amini nakwambia, huyo Kirusi Corona akiingia hapa, tutadondoka kama kumbikumbi, yawezekana mimi sio mfuatiliaji mzuri wa habari, sijasikia chochote kuhusu preventive measures, kutoka katika Wizara ya Afya au Mambo ya Ndani, kupambana dhidi ya gonjwa hilo hatari la Corona, endapo litaingia hapa Tanzania, kupitia nchi jirani au Airport, kama serikali ina mikakati gani na imejipanga vipi endapo Corona itaingia Bongo! Au tunasubiri gonjwa liingie kwanza ndio tuanze kukimbizana.

Wabongo, tunaponeaga chupuchupu sana, dhidi ya haya magonjwa ya milipuko, huwa hatuna historia ya kuyapata, kama ebora nk, japokuwa Ebola ipo jirani, Congo na Uganda kama sijakosea, imagine Kipindupindu tu, kilivyotutoa jasho,

Tahadhari, najua viongozi wetu wamejisahau, wapo kupambana na wakina Zitto Kabwe na Lissu,mambo ya uchaguzi nk, Corona ikiingia hapa Tanzania, tumekwisha vile biashara zetu zinahusiana na China, Kariakoo yote ni Beijing, Shanghai na Guangzhou, tumekwisha wazee, nawambieni kweli, nimemaliza lengo langu ni kuwakumbusha.

Nawasilisha.
Pia najiuliza sis hatuna wanasayans wa kitabibu wakaingia maabala kujaribu kutafuta dawa ndio tunahis hatuwez Lakin tushindwe tumejaribu naiman tukiwa na tabia ya kujaribu hata tukishindwa Mara Milion ipo siku tutapatia tu waafrica tuache ujinga na uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom