Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Fanya research ujue chanzo cha kuua mitajiAnapiga biashara, this time akiua tena mtaji wake nitamblock manake naona anafanya makusudi
Next time pesa mpe mama afanyie mambo yake.Hizo ndiyo sababu zake kuu, yaani anaishi utasema ataendelea kuwa Kijana miaka yote
Uzee ni majukumu.....Hahahaha.........hili Mkuu sina hakika nalo, nachojua life span yetu imepungua sana
Ziko za wakenya online...mrejeste aise..itamsaidia huendaHivi kuna kozi inatolewa hata ya wiki moja nimpeleke? Huenda akapata ufahamu wa kumsaidia
Ni kweli mkuu ila waweke chini ongea nao waambie jinsi ilivyo, na ikiwezekana ukitaka kumpa mtaji ita ndugu wote waweke chini unawaambia Kua ndio mtaji wa mwisho akiuua basi ni shauri lakeChangamoto usipompa mtaji utakaomwezesha kufanya kazi na kujikimu italazimu kila tatizo unapigiwa simu wewe tu kusaidia, kwahiyo nilidhani unapowainua wawili, watatu inakupunguzia mzigo. Bahati mbaya wenzako hawa feel maumivu yako, kwani unajikuta umejinyima kuweza kumpa mtaji
Ndugu wa hivi wengi hawana msaada mbeleni na ni wabinafsi sana. Ukijitoa sana kuwasaidia wanaona ni wajibu wako siku ukifulia ndio utaona dharau na rangi zao. Jambo la msingi mpe mtaji lakini mkubaliane akiupoteza huna deni kwake na ukaze hasahasa.Changamoto usipompa mtaji utakaomwezesha kufanya kazi na kujikimu italazimu kila tatizo unapigiwa simu wewe tu kusaidia, kwahiyo nilidhani unapowainua wawili, watatu inakupunguzia mzigo. Bahati mbaya wenzako hawa feel maumivu yako, kwani unajikuta umejinyima kuweza kumpa mtaji
Usemacho ni sahihi Mkuu, undugu kweli lawama.Ndugu wa hivi wengi hawana msaada mbeleni na ni wabinafsi sana. Ukijitoa sana kuwasaidia wanaona ni wajibu wako siku ukifulia ndio utaona dharau na rangi zao. Jambo la msingi mpe mtaji lakini mkubaliane akiupoteza huna deni kwake na ukaze hasahasa.
Ninavyojua hata wakifanikiwa kwenye biashara watakutaka tu wewe ndio utatue changamoto zote. Tengeneza mazingira rahisi kwako na usisahau kujiwekea mazingira yako mazuri mbeleni.
Nimemwambia tayari, sitaweza kumpa mtaji mwingine akiua niliompaNi kweli mkuu ila waweke chini ongea nao waambie jinsi ilivyo, na ikiwezekana ukitaka kumpa mtaji ita ndugu wote waweke chini unawaambia Kua ndio mtaji wa mwisho akiuua basi ni shauri lake
Wakati mwingine ni Bora Lawama Kuliko Fedheha mkuu
Kabisa nduguHahaha.....upo sahihi, unaweza kuwa kijana kutokana na majukumu ukajikuta ushazeeka.
All in all, muda wa kujiandalia uzee ni sasa
Centonomy....Ngoja nisearch nione, huenda ikamsaidia. Ujana Maji ya moto
Sisi kikwetu ndugu hatukopeshani tunasaidiana, mwenye uwezo na roho nzuri huwasaidia wenzake waliokwama. Hayo mambo ya riba kwa ndugu wa damu ndiyo nimeyasikia leo.Kiroho Riba ni mbaya kwa ndugu yako wa damu mkuu
Vipi unamsaidia ndugu then kila baada ya muda anapoteza mtaji uliompa, hauoni umefika muda wa wao kuwa na kitu kama rejesho fulani ili ajihisi kuwajibika kwa mtaji uliompa? Ili aongeze umakiniSisi kikwetu ndugu hatukopeshani tunasaidiana, mwenye uwezo na roho nzuri huwasaidia wenzake waliokwama. Hayo mambo ya riba kwa ndugu wa damu ndiyo nimeyasikia leo.
Nimemwambia tayari, sitaweza kumpa mtaji mwingine akiua niliompa
Tatizo ni wewe unayempa ndugu mtaji mara tatu anauunguza alafu unalalamika, tena ukijua kabisa hana nidhamu ya pesa. Kwa hiyo akitoa rejesho ndo hatokula mtaji?Vipi unamsaidia ndugu then kila baada ya muda anapoteza mtaji uliompa, hauoni umefika muda wa wao kuwa na kitu kama rejesho fulani ili ajihisi kuwajibika kwa mtaji uliompa? Ili aongeze umakini
Kuna familia zina shida...laana sio laana bora hata ww unawapa ribaVipi unamsaidia ndugu then kila baada ya muda anapoteza mtaji uliompa, hauoni umefika muda wa wao kuwa na kitu kama rejesho fulani ili ajihisi kuwajibika kwa mtaji uliompa? Ili aongeze umakini