Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mno,Asante mkuu.
Ndugu yangu alinipambania toka nikiwa form 1 mpaka nafika chuo kikuu yuko na mimi. Tena akiwa anafanya kazi ya 120,000 per month. Ndio mana hata sina muda wa kumfuatilia sana. Hanywi pombe wala kuwa marafiki wa hovyo
Ana umri gani? Ana mke na watoto?Hongera mno,
Huyu ndugu yangu, akiwa hana hela anatulia na kujifanya anamawazo chanya lakini akizipata ni mwendo wa kunywa na michepuko tu
Jesus!Ni mtu mzima na watoto 3
Ikiwa mwenyewe hawezi kukisimamia hapo ni shida....Unajua kitu napata wasiwasi ni kuona kesho ya watoto wake. Yaani mtu akiwa hohehae sasa atashindwa hata kusomesha watoto wake vizuri pamoja na kuwaandalia kesho yao vizuri. Bahati mbaya anashindwa kujitambua
Mtaji huu wa tatu, kabla sijampa aliniomba tukakutana akanieleza vizuri biashara anayotaka kuifanya. Akajieleza sana namna atakwenda kuizalisha na kupata faida, baada ya kumpa zikapita wiki 3 malalamiko yameanza. Manake hana muda mrefu anakwenda kumaliza mtaji tenaCha kufanya hebu jaribu kumuita mzungumze mkiwa peke yenu...then mpe ushauri + maonyo makali na tahadhari juu.Baada ya hapo mpe tena mtaji kdg.
Akileta ubabaishaji tena waite wazee wenu mkae kama familia...uzungumze yote mliyoyazungumza kipindi mkiwa peke yenu pia weka na gharama zilizokucost baada ya hapo mpe tena mtaji then chapa mguu mbele.
Yatakayomkuta huko yamkute..ila wazazi + Mungu watakuwa mashahidi
Unajua kuna Muda wanaume wengine huhisi hata baada ya miaka 10 ijayo ataendelea kuwa na nguvu zake zile zile alizokuwanazo akiwa na miaka 25.Ikiwa mwenyewe hawezi kukisimamia hapo ni shida....
Ni kweli usemayo, kubwa kutokujitambuaUnajua kuna Muda wanaume wengine huhisi hata baada ya miaka 10 ijayo ataendelea kuwa na nguvu zake zile zile alizokuwanazo akiwa na miaka 25.
Wanashindwa kujua kuwa Uzee unakaribia
Na ujana ni mfupi kuliko uzeeSahihi, unaleta mzaha ujanani wakati Fainali Uzeeni
Ndo hapo tangu mwanzo alipokosea kuwapa mtaji yeye, jukumu la kuwapa mtaji lilikuwa la wazazi wako iwapo ulitaka kuwasaidia ungewapa wazazi wako ndo wawape na kuwapa maonyo ya displine Kama wazazi na wakiwa wanawajibika kwao, wewe ulitakiwa uwe nao Kama ndugu yao bila kujishughulisha na mipango yao na kama kusaidiana ugesaidiana nao kwenye mambo yanayokuhusu, na siku zote ukiwa na hela usipende kujionyesha unazo sana na unaweza kubeba majukumu ya mwingine ila sisemi usisaidie ndugu unachotakiwa kufanya nikusaidia msaada mtu anayejutia hali yake kwa matendo na siyo kwa maneno.Uwape mtaji? Kwani wewe ulipewa na nani?