Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
This ideology of women empowerment will eventually backfire in the near future.
MUNGU hajawahi kukosea na wala hakukosea alipomuweka Mwanaume kuwa kichwa cha Mwanamke.
Kama kawaida yetu Wanadamu tumekuwa tukienda kinyume na matakwa ya MUNGU kwa kujiona tuna akili kumzidi Muumba wetu.
Sasa hivi wanawake wanathaminiwa na kupendelewa na kumsahau kabisa mtoto wa kiume ambaye literally ndiye kichwa cha mwanamke.
Bahati nzuri MUNGU aliliona hili na kutuonya kwenye kitabu cha Isaya 4:1
"na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu yetu".
Hii maana yake ni kwamba siku zinakuja wanaume wa maana watakuwa wachache sana kutokana na kubaguliwa kwa mtoto wa kiume sasa hivi.
Wanawake watakuwa na uwezo wa kula chakula chao na kuvaa mavazi yao bila kumtegemea Mwanaume lakini hawatakuwa na wanaume wa maana wa kuwaoa. Hivyo ratio itakuwa ni wanawake saba wenye kujitegemea kwa mwanaume mmoja (7:1)
Hali itakuwa mbaya sana. Tunapaswa kubadili huu mwelekeo wa kupendelea watoto wa kike.