Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani hali hiyo unayoisema ilifikiwa kwa usanifu au kwa ajali?Ni kweli lakini mpaka sasa jamii imeathirika kwa kiasi kikubwa, na watoto wa kiume wameathiriwa na hizi kampeni, na imeathiri pia watoto wa kike kwa sababu asilimia kubwa ya wanandoa wa sasa mzigo mkubwa wa kulea na kuhudumia familia umebaki kwa mwanamke, wengine wamebaki single mothers, vijana wetu wengi wanatumia madawa ya kulevya na hawana mwelekeo
Nadhani hawakuangalia long term impact ya hili jambo, pengine walifanya kwa nia nzuri wakijua kwamba kumuinua mtoto wa kike kwenye jamii inatosha bila kuangalia madhara yatakayowapata watoto wa kiume na vizazi vijavyo kwa ujumlaUnadhani hali hiyo unayoisema ilifikiwa kwa usanifu au kwa ajali?
Nadhani hawakuangalia long term impact ya hili jambo, pengine walifanya kwa nia nzuri wakijua kwamba kumuinua mtoto wa kike kwenye jamii inatosha bila kuangalia madhara yatakayowapata watoto wa kiume na vizazi vijavyo kwa ujumla
Mercy Mchechu - Mkurugenzi Rightway Schools
Hao wanaume ni wavivu tu wasisingixie women empowerment hata zamani wanaume walikuwaga wavivu ni vile walidaganywa ni vichwa vya familia na kukuzwa kuliko uhalisia ukienda huko vijijini wanawake wanafanya kazi kuliko wanaume, na Tena zamani mama unalima na watoto baba anauza.Na pia kwa miaka hii ya karibuni limeibuka wimbi la watoto wa kiume ambao ni tegemezi au wanapenda kulelewa, hii ni moja ya impact ya hii kampeni ya kumwinua mtoto wa kike ambayo ilianza miaka mingi nyuma
Tusipoangalia hili jambo kwa jicho la tatu tutapoteza kizazi cha watoto wa kiume
Hii imeshaanza kujidhihirisha mapema sana. Wanaume wanalalamikiwa sana kukimbia majukumu yao lakini nadhani tatizo linaanzia hapo . Wanawake wanakwezwa mno na kuona kwamba wanaweza kila kitu hata bila msaada wa mumewe, hivyo kujijengea ego na kujiamin kupitiliza.3. Watoto wetu wa kiume tusipowaandaa kujua namna ya kuishi na hawa watoto wa kike tunaowajenga kwa sasa tutashuhudia ndoa nyingi kuvunjika, watoto wengi kulelewa na single parent, wanaume kutokujua majukumu yao kwenye familia. Mwisho wa siku hawa watoto wa kike tunaowajengwa kwa nguvu zote watakosa support kutoka kwa watoto wetu wa kiume.
Mwandishi wa mawazo Haya alikuwa mototo wa kike naye, ambaye aliwezeshwa mpaka amekuwa mkurugenzi was rightway pale makonde. Ukiona imefikia hatua mpaka wanufaika wanadoubt. Ujue tatizo nikubwa. Ngoja tulitaftie dawaNote: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani.
Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha tarehe 10 October ya kila mwaka kama siku ya mtoto wa kike Duniani, swali liliibuka kwa nini tunatenga watoto? Kwanini tuna siku ya mtoto wa kike
Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani.
Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha tarehe 10 October ya kila mwaka kama siku ya mtoto wa kike Duniani, swali liliibuka kwa nini tunatenga watoto? Kwanini tuna siku ya mtoto wa kike na hatuna siku ya mtoto wa kiume?
Hakuna mwanaume anaweza kukaa na mwanamke kama yule!Jumuiya na asasi za kijamii pamoja na mm mwenyewe tusipokuwa makini tutaanza kampeni ya kumuinua mtoto wa kiume
Kwa miaka hii ya karibun kumeibuka haki sawa za kijinsia na hapo ndpo mtoto wa kike anapopewa kpaumbele Sana kuliko wa kiume
Usasa na wanawake wanaojiita wanaharakat wametufanya tuucheze huu wimbo wao nakumsahau mtoto wa kiume
Ongezeko la mashoga n kubwa Sana mitaani na wanaharakat wanasema n haki yao
Nje ya mada hivi Bibi @hellenkijobisimba kaolewa?
Asante sana mkuu, nitatajitahidi kupitia hayo machapisho pamoja na movie ili nipate uelewa zaidi wa hili jamboZifuatazo ni baadhi ya rejea, zinazoelezea matokeo uliyoyataja.
1. Raising Cain -- Hii video ni ya kuangaliwa na kila mzazi mwenye mtoto wa kiume. Na Kila mwalimu anayefundisha mtoto wa kiume.
2. The War Against Boys: How Misguided Policies are Harming Our Young Men -- Hoja kama uzi huu ilipata kuandikwa kitabuni. Komenti kwenye linki hiyo zinaelezea maoni ya wasomaji.
3. Men on Strike: Why Men Are Boycotting Marriage, Fatherhood, and the American Dream - and Why It Matters -- Kitabu hiki kinaelezea hatima ya yanayojiri. Komenti kwenye linki hiyo zinaelezea maoni ya wasomaji.
Hongera kwa kuandaa watoto kwenye hatua za awali katika safari yao ya kujielimisha.
Kwa nyakati zijazo zitakua nyakati ngumu sana kwa watoto wa kiume, pengine hawatapata elimu bora, hawatauzika kwenye soko la ajira na pengine watakua hawana confidence mbele ya wanawake since they have been neglectedHili sasa limekuwa tatizo hata wanaowekeza kwenye sekta ya elimu wanapendelea kuwekeza zaidi kwenye shule za mtoto wa kike.Nyakati hizi ukitafuta shule bora ya wavulana ni shida.Tunahamisha tatizo kwenda upande wa pili badala ya kulitatua.