Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Kwaiyo mtoto anaweza kumlaani baba yake au mama yake kama wamemkosea.
Hapana hiyo ni rivasi hakuna kitu kama hicho, yeye ni zao la hao wawili hivyo kiroho hana nguvu hiyo sasa kinachotea ni wao kuadhibiwa na Mungu ama uhalisia lakini ni lazima mtoto awe mnyenyekevu
 
Ubatizo pia ni mara tatu...
 
Hapo kwenye 3, 4, 5 & 6 umesahau kuandika kua Hata kabla ya Kusulubiwa alikanwa mara tatu kabla jogoo halijawika
 
Sijaelewa hapa je mtu kama girlfriend au rafiki ana uwezo wa kukulaani?
 
Sijaelewa hapa je mtu kama girlfriend au rafiki ana uwezo wa kukulaani?
Inategemea umemfanyia ubaya gani... Laana nyingine ni za ulimwengu.. Ukiutesa uumbaji na unayemtesa akaumia sana lakini akasamehe imekula kwako......
Hakuna kitu kibaya kama mtu kusema namwachia Mungu na akamaanisha
 
Na vipi laana ya mke na mume kutendeana mabaya kinyume na viapo vyao vya ndoa?
 
Haina nguvu

Lakin wakristo tunaambiwa tusamehe saba mara sabini na tunaambiwa ile tu hali ya kujifeel upo guilty na ukaomba msamaha basi hata mbinguni unasamehewa...ss Mshana mm nkukosee nikiri kosa ukatae kusamehe kwa hyo mm nibaki slave kwako milele ilihali ni ww unaekataa msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…