Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Tatu ni namba kubwa sana ktk ulimwengu wa roho.Tatu humwakilisha Mungu.Waisrael waliongozwa na vitu vitatu ili wasipotee Musa,wingu na sanduku la agano.
Namba nyingine za Mungu ni 7,10,12,24 na 40.
Namba hatari ya ulimwengu wa giza ni 6 na 13.
Namba ni utimilifu wa jambo fulani.
 
Hahahaaa ndio kunapambazuka sasa... Mida ya hatari imeshapita
Kama aishivyo Mwenyezi Mungu ndugu Mshana hakuna muda wa hatari na muda mzuri muhimu ni kujifunza tu kuhesabu siku zetu kwa maana ya kuwa na mahusiano mema na watu kwa maana tumefumbwa kujua dakika moja mbele yetu kitachotukia! Tunaambiwa katika maandiko matakatifu tujifunze kuhesabu siku zetu ili tupate moyo wa rehema!
 
Aaamen ila kuna wakati wa kupita BONDE la uvuli wa mauti kama mtunga Zaburi alivyosema..... Nijapopita kati ya BONDE la uvuli wa mauti... SITAOGOPA mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vyanifariji.....
 
Aaamen ila kuna wakati wa kupita BONDE la uvuli wa mauti kama mtunga Zaburi alivyosema..... Nijapopita kati ya BONDE la uvuli wa mauti... SITAOGOPA mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vyanifariji.....
Biblical verses was just there...toka enzi, ila inventors walikuwa na maana tofauti na fasiri za kileo...sina hakika kama wewe nawe ni msomaji wa neno ila pitia Isaya 4: 1 kisha ukija uanzishe notion uone!
 
Biblical verses was just there...toka enzi, ila inventors walikuwa na maana tofauti na fasiri za kileo...sina hakika kama wewe nawe ni msomaji wa neno ila pitia Isaya 4: 1 kisha ukija uanzishe notion uone!
From what I know ni kwamba Biblia ni neno linaloishi halizeeki na halina nyakati.... It is always there to stay
 

Habari mkuu,

Nakubaliana na wewe mzee. Kimazoea kitatu-tatu ndo mmaanisho kwa wengi. Mungu wa kweli aliye mmoja tu ye hutamka mara moja na hua, habaatishi.

Najaribu changia. MARA 3. TIMES 3, X 3...hiyo tatu hiyo. Kwanini 3? wanajua! Dunia imejamaaa vitu na mambo ya kushangaza sana. Ukifuatilia kidogo tu utagundua namba zimeshikilia kila aina ya vitu na matukio yanayotokea leo. Namba zimejaaa usupernatural na usuperstitions ndani yake.

Kwanini Nikola tesla alilazimika kuizunguka nyumba mara 3 ndo aingie ndani? Akiingia nyumba ya kulala wageni basi ni lazima afikie chumba ambacho kinagawanyika kwa 3. Kwanini?

Kwanini goli 1 point 3?

Tesla na wenzake kibao wangekua watanzania wakazi wa Shinyanga au mbeya, wengeshachomwaga moto siku nyingi.

“If you knew the magnificence of the three, six and nine, you would have a key to the universe.”
– Nikola Tesla
 
Are witches born or made? n.b made naaamaanisha kurithishwa.
 
nategemea kwenye list ijayo ya watu hatari ya Cyprian Musiba atakuwemo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…