Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Shukrani!
 
Nimefuatilia huu mtanange kimya kimya tokea asubuhi.....
Kuna mengi ya kujifunza hasa kutoka kwa positive comments.....

Lakini kikubwa, naomba tuheshimu fani za watu......

Mkuu Poor Brain tutakuheshimu kua wewe ni mwalimu (ticha) wa physics lakini kwenye umeme, nakushauri waache wataalamu watuelimishe........
 
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Kumbe ni manager kabisa halafu kunipa pande mwanao niishi hapa town unaona jau au sio??
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€naona umeme unastimulate umeme wa mwilini ubongo ukichanganyikiwa mtu anakimbiaaa...!! sasa waokufaga sijui ubongo nao huwa unaliwa kichwa mapema.
Unaambiwa poor brain na umeme ni kama ishirini na twenty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…