Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mi mtu anapoingilia fani yangu huwa namaindi na sipendi kupotosha watu...Boss hasira zako ziko jirani sana aisee.......yani from no where uje umejaa kiasi hichi....
Basi nisamehe mkuu...mimi hua sijihusishi na mabishano au ugomvi wa hivi......
Nisamehe boss....wewe upo sahihi kwa kila kitu...
1)π HZ nini nini ?naHuna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Mimi nimebobea kwenye mambo ya electronic vibaya sanaπππππππππSema blood unazingua...
Seriously unazingua...
Alafu wenzako hawadharilishi watu namna hiyo..
Kwanini usinifate inbox tukaongea kaka
ππππππππ Daaah wee jamaauna sifa kinoma
Mmhh.Nimeandika CV ili ujue who is talking....
Kingine usitanie mtu usiyemjua sometimes is you can get harmful
Yas mimi hapaMmhh.
Sawa mkuu mtu na CV yake mjini.Yas mimi hapa
chaiView attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...
Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza
1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.
kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...
DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..
Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..
Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana
Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...
So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...
Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah
USIKU MWEMA.
Transiator.
Ndio au kuna shida..Sawa mkuu mtu na CV yake mjini.
Hans kuna siku watakuj kukufunga juu ya mti alafu watakuchapa weeeeeh....chai
Huo haina shida ila kwa mfumo wa kinga, we kajienjoy kama hofu yako ni mfumo wa faham tu.Kuna bint mmoja jirani mrembo sana, ila nimesikia ana Umeme!, naonjaje hii asari bila ya umeme wake kuingilia mifumo yangu ya fahamu?...
Maneno mengi ya nini, kama unauweza pima kwenye socket hapo?chai
View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...
Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza
1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.
kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...
DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..
Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..
Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana
Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...
So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...
Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah
USIKU MWEMA.
Transiator.
Dhana ya kurushwa na umeme ni sahihi ....umeme unaweza kukunasa kabisa au kukurusha sababu nyingine umeziandika ila umeshindwa kuzielewa umesema mwili wa binadamu una umeme ni kweli na umesema unaendeshwa na umeme hiyo ni kweli pia hivyo misuli ya mwanadamu inapokea komandi ya umeme kufanya kazi ... sasa hapo ndipo kwenye jibu la kurushwa ...mwili una misuli inayo itwa mota kazi ya hiyo misuli ni kufanya motion hivyo umeme unapo ingia unastua hiyo misuli kwa ghafla hapo ndipo kurushwa utokea ...yaani mstuko wa misuli unaofanywa na nguvu ya umeme....pia umeme una nasa siyo kurusha tu ..pia umeme unatetemesha...pia umeme ununguza ...View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...
Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza
1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.
kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...
DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..
Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..
Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana
Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...
So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...
Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah
USIKU MWEMA.
Transiator.
Umekosea wewe itakuwa umesoma veta au udsm πππππππππSawa boss...siwezi kukubishia....
Harafu hii post ya kabla ya tarehe za pilau...π
Anyways ngoja nikusaidie.....
*Umeme haukurushi umeme una weza fanya vitu viwili vikubwa
1.Kukushikilia sababu unakua umepoozesha neva zako za fahamu hivyo huwezi jinasua...na utaachiwa tu pale maji yako mwilini yakikauka...hivyo matokeo baada ya kuachiwa unaweza ukaonekana umeungua au umekua mweusi(umekauka)..hapo kupona hua nadra
2.Umeme ukaingilia mfumo wako wa fahamu na wewe ukaweza kujinasua...sababu tu Haujawa kipitisho kizuri,au umeme ulio kuingia ulikua ule unaovuja,yaani unao zagaa hivyo hauna chanzo cha mwendelezo.
Ikitokea hivyo mara kadhaa unaweza athiri fahamu zako hivyo wakati wa kujiokoa ukahisi umerushwa.
Umeme hauna uwezo wa kukurusha ila tu kuufanya ubongo wako kutoa tahadhari ya kujiokoa,na wakati unatekeleza hilo kwa nguvu zako mwenyewe kujitoa pale utahisi umerushwa...hapa ni wewe kupitia mfumo wako wa fahamu umelitekeleza hilo tendo la kuruka.
Na utaweza kulitimiza hilo tu kama kwa bahati nzuri hujawa kipitisho kizuri au umeme ulikua ni ule wa kuvuja hauna mwendelezo....
Sadiki rafiki yangu alikufa 2013 June,kwa kisa kama hiki.Sijaelewa vizuri hapa .
Nilimpoteza my cousin mwaka 2011 alipanda mti ambao juu ya huo mti kulikuwa na 'UMEME' (waya zinapita) alioigwa shoti Kali Sana na kusambaratishwa vibaya Sana.
JAMAA ALICHOKUREKEBISHA YUKO SAHIHI.Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Swala gumu sana hili ni kama namna ya mhitimu kuigeuza elimu ya chuo kikuu kuwa fedha.Kuna bint mmoja jirani mrembo sana, ila nimesikia ana Umeme!, naonjaje hii asari bila ya umeme wake kuingilia mifumo yangu ya fahamu?...
Wewe pia nyamaza huna hoja ya kubishana na mimi ..JAMAA ALICHOKUREKEBISHA YUKO SAHIHI.
WEWE NDIO MBISHI WALA SIO YEYE.
YAANI UMEME WA KUSOMA FORM FOUR NA KUTOKA NA 1 KALI YA PHYSICS NDIO UNATAMBIA HAPA?
KWANZA KUNA 1 KALI YA PHYSICS?,IKOJE HII?,
ADVANCE KUNA UMEME GANI WA MAANA KWENYE PCM?.
WEWE UMESOMA UMEME,WENGINE NI MAFUNDI UMEME NA WAMETULIA TU,MWENZETU UMESOMA MIAKA MIWILI TU UNASUMBUA WATU!
KIUFUPI JAMAA YUKO SAHIHI,WEWE UKO WRONG COMPLETELY MTAALAM MWENYE 1 KALI YA PHYSICS.
eti CV unajua CV yangu?Wewe pia nyamaza huna hoja ya kubishana na mimi ..
Hapa tunabishana kwa cv mkuu..
Una one ya ngapi advance...
Oky sorry umefika advance wewe..?