The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
ninasema hivi ukishakuwa na majukumu na unajua kwenye maisha yako unataka nini automatically kuna vitu utaanza kuvipunguza hasa ukiwa kijana wa kiume.Wew wasema. Kwaiyo wajua kazi ni kushinda kariakoo tu? Ndo maana mnalalamika wabunge kupiga tu makofi bungen wanakula 18M . Yan unaamin anaefny kaz ni yule asubh ad usiku yupo kariakoo hahah pole mkuu. NOTE, TUMIA AKILI ZAIDI.
Hivi una familia ya mke, mtoto au hata wadogo zako tu wanakutegemea utakaa hapa unaanza kubishana na watu na kuwaambia watu watumie akili?
Mimi huwa nasemaga ukweli, hakuna mtu ambaye yupo busy na maisha na anaelewa anataka nn kwenye maish akawa anashinda kwenye mitandao, zingatia neno Anayeelewa.
Ndio maana nimesema hichi ni kijiwe cha wahuni, wengi hawana kazi na huu ndio ukweli mchungu. Mtu kuanzia jumatatu mpaka jumapili kila dakika unamkuta kajibu huku kajibu kule mpaka usiku wa manane anafanya kazi muda gani?
Na uktaka kutihibitisha hili ona vijana wanavyotongoza mtu ambaye hajui hata anafananje! Hiyo ni kazi ya kuwa idle na shetani ndio huwa anapenda akili za hivyo.
Nakutajia mifano mifupi mtazame pascal mayalla utafute ni muda gani anapata wa kubishana, au tafuta maxcence mello anabishana na watu.
Upumbavu tu umejaa eti tumia akili