Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

Nilioa mke ambaye sikujua yeye, mama na ndugu kadhaa wa kike ni feminists...

Kwa kipato changu, tuliishi maisha stadard kabisa ya nyama na samaki ndiyo mboga kuu, dagaa na maharage ni optional. Yale maisha ya wali au ndizi ndo chakula kikuu, ugali ni very optional. Yale maisha ya vocha siyo tatizo, ndani internet ipo unlimited.

Kwa ujinga wake na wa ndugu zake wakawa wanamjaza maneno ya "Toka uolewe umerudi nyuma kimaendeleo". Wakamjaza weeeh mpaka eti akaamua kuondoka, yani akaondoka voluntarily, akauacha mji wake in the sake ya "To make money".

Hapo ndipo nilijua wanawake wapumbavu ndio huzivunja ndao zao kweli, tena kwa mikono yao miwili
.
 
Wewe ni mtu mzima, umeyatafiti maisha na uhalisia wake vya kutosha, hasa maisha yetu ya kiafrika.
Upo sahihi 100%.
 
Isongeshe mkuu, ilikuwaje sasa, maana hili ni darsa, ni shule tupo mkujifunza.
 
Isongeshe mkuu, ilikuwaje sasa, maana hili ni darsa, ni shule tupo mkujifunza.
Nitaleta uzi mkuu, lkn hawa viumbe hawajuagi kipi hasa wakitakacho maishani...

Halafu walivyo wapumbavu huwa wanatumia watoto kama fimbo ya kukupigia. Wasichojua ni kwamba wanaume hatujaumbiwa kuishi na watoto. Kama walivyo wanyama wengine, dume huwa hazina time na watoto, ndivyo nature ilivyo kwetu na sisi binadamu.

Yani utamtishia watoto mwanaume muda mfupi tu, ukishaondoka, anavuta chombo kingine kinamzalia watoto hao wako wanakuwa wana nafasi ndogo sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…