Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.
Unakumbuka siku simba inafungwa na mbao?Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.
Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.Kwenye mpira huwa timu zinasajili wachezaji 30. Nadhani timu zote zimessajili wachezaji 30 au pungufu kidogo. Kila kocha huwa ana first 11 anayoiamini sana. Kuwa na kikosi kipana hakuna maana unayofikiri wewe. Kikosi kipana maana yake kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza kwenye kikosi cha kwanza pindi mchezaji atakapoumia au kuwa na matatizo.
Hakuna mchezaji anaesajiliwa ili akawe kikosi cha pili au cha tatu. Wachezaji wote kwenye kila timu walisajiliwa kucheza kwenye timu, kwanini simba dhana hii ya kikosi kipana wanaikuza sana huku wakifahamu kuwa bila Kagere, Bocco, Chama na Okwi timu haipati matokeo?kua na kikosi kipana haina maana hautofungwa,
Kikosi kipana kina maana kua na wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza
Inshu ya kufungwa au kutofungwa ni maada nyingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.
UMEKOSEA.kua na kikosi kipana haina maana hautofungwa,
Kikosi kipana kina maana kua na wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza
Inshu ya kufungwa au kutofungwa ni maada nyingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka siku simba inafungwa na mbao?
Hao wote walikuwepo
Kikosi kipana haina maana hautofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.
Safi!Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.
Kikosi cha jana cha Simba kilinidhihirishia kuwa Simba haina kocha bora ila amepata bahati ya kupata wachezaji wazuri. Jana walicheza mpira wakiwa 'tactically inept' maana yake wakiwa na mapungufu makubwa sana ya mbinu za mpira.kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?
Timu zote zinasajiri wachezaji wengi ili kocha awe na uwanja mpana wa kuchagua kwaajili ya kupata matokeo katika kila mechi. Lakini Simba wadai kuwa wana kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi 3 kwenye viwanja tofauti na kupata matokeo kuliko timu nyingine. Kitu ambacho wanashindwa kukithibitisha uwanjani.Umeandika pumba tu. Hakuna kocha duniani asiye na first eleven. Na kuwa na first eleven haina maana wengine hawana uwezo. First eleven inategemea na mfumo wa uchezaji wa kocha. Anachagua wachezaji wanaomudu mfumo wake.
Kucheza mechi tatu inawezekana lakini kushinda hizo mechi zote ndio itakuwa shida. maana Kila timu imesajiri zaidi ya wachezaji 11 kwanini ishindwe kucheza, ila matokeo ndiyo itakuwa mtihani kwao.kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?
Kwa ufafanuzi huu usipoelewa tuu Bora ujinyonge ufee huna akiliKwenye mpira huwa timu zinasajili wachezaji 30. Nadhani timu zote zimessajili wachezaji 30 au pungufu kidogo. Kila kocha huwa ana first 11 anayoiamini sana. Kuwa na kikosi kipana hakuna maana unayofikiri wewe. Kikosi kipana maana yake kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza kwenye kikosi cha kwanza pindi mchezaji atakapoumia au kuwa na matatizo.