kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.