Dhana ya simba kuwa na kikosi kipana sio halisia.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.
 
Kwenye mpira huwa timu zinasajili wachezaji 30. Nadhani timu zote zimessajili wachezaji 30 au pungufu kidogo. Kila kocha huwa ana first 11 anayoiamini sana. Kuwa na kikosi kipana hakuna maana unayofikiri wewe. Kikosi kipana maana yake kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza kwenye kikosi cha kwanza pindi mchezaji atakapoumia au kuwa na matatizo.
 
kua na kikosi kipana haina maana hautofungwa,

Kikosi kipana kina maana kua na wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza

Inshu ya kufungwa au kutofungwa ni maada nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbuka siku simba inafungwa na mbao?

Hao wote walikuwepo

Kikosi kipana haina maana hautofungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakipo kabisaaaa, sema wana first eleven safi na substitutes wao hao first eleven wako safi. WENGINE NI MAJANGA
 
Kwenye mpira huwa timu zinasajili wachezaji 30. Nadhani timu zote zimessajili wachezaji 30 au pungufu kidogo. Kila kocha huwa ana first 11 anayoiamini sana. Kuwa na kikosi kipana hakuna maana unayofikiri wewe. Kikosi kipana maana yake kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza kwenye kikosi cha kwanza pindi mchezaji atakapoumia au kuwa na matatizo.
Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.
 
kua na kikosi kipana haina maana hautofungwa,

Kikosi kipana kina maana kua na wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza

Inshu ya kufungwa au kutofungwa ni maada nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mchezaji anaesajiliwa ili akawe kikosi cha pili au cha tatu. Wachezaji wote kwenye kila timu walisajiliwa kucheza kwenye timu, kwanini simba dhana hii ya kikosi kipana wanaikuza sana huku wakifahamu kuwa bila Kagere, Bocco, Chama na Okwi timu haipati matokeo?
 
Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.

Umeandika pumba tu. Hakuna kocha duniani asiye na first eleven. Na kuwa na first eleven haina maana wengine hawana uwezo. First eleven inategemea na mfumo wa uchezaji wa kocha. Anachagua wachezaji wanaomudu mfumo wake.
 
kua na kikosi kipana haina maana hautofungwa,

Kikosi kipana kina maana kua na wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza

Inshu ya kufungwa au kutofungwa ni maada nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
UMEKOSEA.

Maana halisi ya kikosi kipana ni kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kufanana na wachezaji wa kikosi cha kwanza.

Sio tu uwezo wa kufanana, bali pia uwezo.wa kuaminika katika kutoa matunda chanya pale wale wengine wanapokosekana.

Huwezi kuwa na kikosi kipana halafu.....Zenji unapeleka wakina Manula, Bocco, Okwi, Kagere na nk.

Tafsiri sahiho ya kuwa na kikosi kipana ilitakiwa upeleke kikosi Zenji ambacho hutolazimika kuongeza wala kupunguza mchezaji na ukawaamini kuwa wanaweza kuleta matokeo na kweli ikawa hivyo.

Kwa sasa hapa TZ hakuna klabu yenye kikosi kipana. Bali klabu zina wachezaji wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama, Wawa, na manula. Wakikosekana hawa Simba haifanyi vizuri.
kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?
 
Aaah sheikh, wenzake hawakumaanisha hicho unachokizusha sasa hapa, wao wanasema kuwa Simba inaweza kucheza na timu tatu kwa wakati mmoja na kupata matokeo. Kima ni hicho unachokisema wewe basi timu yenye wachezaji wa aina hiyo ni Yangu tu msimu huu chini ya Zahera ambayo hata akikosekana mchezaji gani kwa bahati mbaya au makusudi bado wachezaji waliobakia wanaweza kuipatia timu matokeo, lakini sio Simba.
Safi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?
Kikosi cha jana cha Simba kilinidhihirishia kuwa Simba haina kocha bora ila amepata bahati ya kupata wachezaji wazuri. Jana walicheza mpira wakiwa 'tactically inept' maana yake wakiwa na mapungufu makubwa sana ya mbinu za mpira.
 
Umeandika pumba tu. Hakuna kocha duniani asiye na first eleven. Na kuwa na first eleven haina maana wengine hawana uwezo. First eleven inategemea na mfumo wa uchezaji wa kocha. Anachagua wachezaji wanaomudu mfumo wake.
Timu zote zinasajiri wachezaji wengi ili kocha awe na uwanja mpana wa kuchagua kwaajili ya kupata matokeo katika kila mechi. Lakini Simba wadai kuwa wana kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi 3 kwenye viwanja tofauti na kupata matokeo kuliko timu nyingine. Kitu ambacho wanashindwa kukithibitisha uwanjani.
 
kufungwa ni jambo la kawaida hata uwe na kikosi gani ,kwani siku ya mbao fc hao hawakuwepo? ulitaka simba ishinde mechi zote bila hata droo kila mashindano ndio uamini wana kikosi kipana? kuna timu gani duniani inaweza ikacheza mechi tatu mfululizo kama haina kikosi kipana ?
Kucheza mechi tatu inawezekana lakini kushinda hizo mechi zote ndio itakuwa shida. maana Kila timu imesajiri zaidi ya wachezaji 11 kwanini ishindwe kucheza, ila matokeo ndiyo itakuwa mtihani kwao.
 
Kwenye mpira huwa timu zinasajili wachezaji 30. Nadhani timu zote zimessajili wachezaji 30 au pungufu kidogo. Kila kocha huwa ana first 11 anayoiamini sana. Kuwa na kikosi kipana hakuna maana unayofikiri wewe. Kikosi kipana maana yake kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza kwenye kikosi cha kwanza pindi mchezaji atakapoumia au kuwa na matatizo.
Kwa ufafanuzi huu usipoelewa tuu Bora ujinyonge ufee huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom