Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

naanza na katibu wa bavicha!!sijui hata alipitaje kwenye uchaguzi wa bavicha !!ila kwa kuwa ni mpwa wa mboe akili ndogo ikashinda akili kubwa maajabu ya siasa za chadema

Kwa hiyo CCM nacho ni cha kifamilia kwa kuwa JK na familia yake wako NEC? Mbona hoja zenu zinaishia tu kwa CDM na hamfikiri nje ya box? TLP nayo ni cha Wachagga simply kwa kuwa M/kiti wao ni mchagga? Au kwa kuwa CDM ni threat kwenu ndo hasa msingi wa propaganda hizi?
 

Mkuu jmushi1,
Naomba kama utaweza, define kwanza, UKABILA NI NINI, kisha tuendelee na mjadala. Otherwise, kila mtu akiwa na definition yake hatutafikia conclusion. Ni kwa sababu watu wengine wana chuki tu mioyoni mwao na wachagga, laiti wangekuwepo wamakonde watupu ngazi za juu CDM isingekuwa tatizo hata kidogo. So, tuanzie kwanza na definition, plse!
 
Last edited by a moderator:

wewe mwenyewe mchaga

mmeshindwa kujizuia katika hili, ukabila wenu uko sio kwenye chama hiki tu, kila sehemu na taasisi

msifikiri watanzania wajinga

wewe jipe moyo tu humu JF
 
jmushi nifungie tena

wewe na wewe ulitukana sana kwa ku ni pm, nikashangaa napigwa bani mimi

ndio U-CDM huu tunaousema, nyie madikteta

fikiria mbowe na slaa wanakuwa marais
 
Singida kabaki lissu nae siku zake zinahesabika unachopinga nini na wewe tayari ni mushi walewale tu kataeni ubinafsi nyerere alishasema baadhi ya makabila nchini hayatashika nchi alionana mbali huyu baba mungu amuweke huko aliko.
 
MCHAGA, MNYAKYUSA, MUHAYA hizi kabila ni za kuogopewa kama ukoma jk nyerere
 
Singida kabaki lissu nae siku zake zinahesabika unachopinga nini na wewe tayari ni mushi walewale tu kataeni ubinafsi nyerere alishasema baadhi ya makabila nchini hayatashika nchi alionana mbali huyu baba mungu amuweke huko aliko.

Chadema ikichukuwa madaraka ni kabila linatawala?Huo ni ujinga uliopitilizaSingida nimekutolea mfano tu,na sikuzungumzia uwepo wa Lissu.Wananchi wa sehemu husika ambao si wachagga lakini ni wanachadema wanachagua viongozi wachagga?chuki mbaya sana,mwalimu Nyerere huyohuyo wadini ndani ya ccm hamumpendi.Leo hii anakuwa relevant kwa ajili tu ya chuki.
 
Unamaanisha kamati kuu ya chadema inafanya maamuzi kwa kuzingatia dini?unaweza kutoa mifano halisi ili kuprove point yako?Chadema kimeanzishwa miaka ishirini na ushee iliyopita.Ni chama ambacho bado kinajengwa.Hilo la udini unao ushahidi?

Haya ni miongoni mwa mambo yenye kudhihirisha udini uliopo katika chama chenu cha KANISA.
1. Mbowe katika kikao kimoja cha kamati kuu alivyopishana kimaneno na Zitto alijisahau na kutoa ya moyoni kwakumuambia zitto "mh zitto si uende huko CUF kwa waislamu wenzako?".
2. Mchungaji Msigwa aliwatukana waislamu Bungeni tena wakiwa katika ibada tukufu ya funga ndani ramadhani. Kwa kuzingatia umuhimu wa maneno hayo Mbowe akamkubali na leo amekaimu kama Naibu katibu mkuu wa chama. Mtei ameshatoa kauli za kidini ktk mchakato wa katiba. Ni mengi sana na sina haja kuandika sana kilichobakia ni kazi ya kuwaelimisha watanzania kilichoko behind the scene ya CDM.
 
MCHAGA, MNYAKYUSA, MUHAYA hizi kabila ni za kuogopewa kama ukoma jk nyerere
Kwahiyo ni kabila gani litakalohakikisha kuwa hakuna kiongozi atakayetokea kwenye makabila hayo uliyoyataja bila bila kuelekea kwenye mapigano ya kikabila.Kweli miafrika ndivyo tulivyo.Chuki tu basi.
 
CHADEMA ni chama KIBAGUZI,huu ni ukweli ambao haupekiki! Ubaguzi wa kifamilia (Watu wa karibu na familia wanapewa privileges wasizostahili kwa mfano ubunge viti maalum, influence ya Lema). Pili UKABILA, wachagga ni first class members kwenye chama, tizama wakina kilewo na Ben 8. Tatu UKANDA, ukitokea KASKAZINI hata kama sio mchagga unaweza kuaminiwa. Nne, UDINI nadhani liko wazi zaidi kwenye kila nyanja ya CHADEMA Ukristo UMETAMALAKI, rejea kauli za MTEI, Wabunge kina SELASINI, MSIGWA , LEMA nk. WADINI maarufu hapa JF ndio wasemaji wa CHADEMA! molemo, nicholas,mnyisanzu nk.
 
MCHAGA, MNYAKYUSA, MUHAYA hizi kabila ni za kuogopewa kama ukoma jk nyerere

Mimi naikumbuka ile hotuba yake anayosema, hatuchagui viongozi kwa sababu ya kabila lake, au Dini yake, bali sifa zake. Haya ya kushadadia ukabila sijawai kusikia au kuyasoma popote.
 
Siasa zetu zilipobadilika na kuwa ushabiki ndo tumefikia huku.Kila siku ni kukaa na kutunga uongo ili tu upate cha kusema kuhusu chama unachokipinga almuradi siku imeingia na mkono umeenda kinywani.TOFAUTI ZETU ZILIKUWEPO KABLA HATA VYAMA HAVIJAANZISHWA.Lakini si vyema kuzitumia tofauti zetu in a negative way kwasbabu tutafikia kubaya.Si kweli kwamba ukiidhibiti chadema basi umewadhibiti wachagga.Hiyo mifano uliyoitoa ni cherry picking tu na kupandikiza chuki kwenye mawazo ya wananchi dhidi ya kabila ama dini flani.Mimi ni mtanzania kwanza,then identity nyingine zinafuatia.

Tulikuwa na umoja ndani ya utawala wa chama kimoja kwasababu wananchi wote walikuwa ccm na malengo ya taifa kupitia chama yanajulikana na wananchi wanashiriki moja kwa moja kwenye utekelezaji wake.Sasa baada ya kuwepo vyama vingi,imekuwa fursa ya kuleta majitaka kwenye siasa.Kulazimishia vitu visivyokuwepo.Hayo unayoyasema tunaweza kubadili kibao na kusema the same,kuwa ccm ni chama cha kifamilia,na udini.Tunatakiwa tujikite kwenye mijadala ya namna ya kulikomboa taifa kutoka kwenye umasikini.Why not critisizing each other on the policies and ways to move this nation forward?
 

sasa wewe ulitegemea nini wakati wachaga ndio kabila pekee lililoamka na walio kwenye vita mabadiliko?
 
jmushi nifungie tena

wewe na wewe ulitukana sana kwa ku ni pm, nikashangaa napigwa bani mimi

ndio U-CDM huu tunaousema, nyie madikteta

fikiria mbowe na slaa wanakuwa marais
 

Mimi Muhehe naipenda CHADEMA lakini sijulikani hata na kiongozi mmoja wa chama nipewe vipi huo uongozi ndani ya chama??tatizo sio uhehe wangu,au Dini yangu au labda kanda ninayotoka..ila ni mimi kama nataka uongozi ktk chama nitajiunga rasmi na nitapitia muda wa kujifunza na kujipambanua halafu taratibu nitaaminiwa nitateuliwa au nitagombea nami nitaongoza. Na Hapa nasisitiza wakati wote sifa za mtu zitampa nafasi, NI SIFA ZAKE PEKEE.!!!
 
Muulize mzee mtei ndie mwenye majibu
M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…