Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
wewe Ajuza upo kwenye camp gani ya wazee nije nikusalimie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe Ajuza upo kwenye camp gani ya wazee nije nikusalimie?
naanza na katibu wa bavicha!!sijui hata alipitaje kwenye uchaguzi wa bavicha !!ila kwa kuwa ni mpwa wa mboe akili ndogo ikashinda akili kubwa maajabu ya siasa za chadema
Kesi gani?Kesi ya nyani kuamuliwa na ngedere!
Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi cha ni cha kigogo?
Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!
Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi cha ni cha kigogo?
Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!
Chama kitajengwa na wananchi wa eneo husika.CCM ilikuwa kila mahali kwasababu enzi za chma kimoja ilikuwa ni lazima uwe na kadi ya chama.Wewe unataka sehemu ambayo haina wanachama wa kutosha wapewe mbunge wa kuteuliwa?Fimbo ya mbali haiui nyoka.Wananchi waki accept idea za chama,wakakijenga chama,watapata viongozi.Hakuna mchagga aliyeteuliwa kwenda kuongoza Singida.
Singida kabaki lissu nae siku zake zinahesabika unachopinga nini na wewe tayari ni mushi walewale tu kataeni ubinafsi nyerere alishasema baadhi ya makabila nchini hayatashika nchi alionana mbali huyu baba mungu amuweke huko aliko.
Unamaanisha kamati kuu ya chadema inafanya maamuzi kwa kuzingatia dini?unaweza kutoa mifano halisi ili kuprove point yako?Chadema kimeanzishwa miaka ishirini na ushee iliyopita.Ni chama ambacho bado kinajengwa.Hilo la udini unao ushahidi?
Kwahiyo ni kabila gani litakalohakikisha kuwa hakuna kiongozi atakayetokea kwenye makabila hayo uliyoyataja bila bila kuelekea kwenye mapigano ya kikabila.Kweli miafrika ndivyo tulivyo.Chuki tu basi.MCHAGA, MNYAKYUSA, MUHAYA hizi kabila ni za kuogopewa kama ukoma jk nyerere
MCHAGA, MNYAKYUSA, MUHAYA hizi kabila ni za kuogopewa kama ukoma jk nyerere
Siasa zetu zilipobadilika na kuwa ushabiki ndo tumefikia huku.Kila siku ni kukaa na kutunga uongo ili tu upate cha kusema kuhusu chama unachokipinga almuradi siku imeingia na mkono umeenda kinywani.TOFAUTI ZETU ZILIKUWEPO KABLA HATA VYAMA HAVIJAANZISHWA.Lakini si vyema kuzitumia tofauti zetu in a negative way kwasbabu tutafikia kubaya.Si kweli kwamba ukiidhibiti chadema basi umewadhibiti wachagga.Hiyo mifano uliyoitoa ni cherry picking tu na kupandikiza chuki kwenye mawazo ya wananchi dhidi ya kabila ama dini flani.Mimi ni mtanzania kwanza,then identity nyingine zinafuatia.CHADEMA ni chama KIBAGUZI,huu ni ukweli ambao haupekiki! Ubaguzi wa kifamilia (Watu wa karibu na familia wanapewa privileges wasizostahili kwa mfano ubunge viti maalum, influence ya Lema). Pili UKABILA, wachagga ni first class members kwenye chama, tizama wakina kilewo na Ben 8. Tatu UKANDA, ukitokea KASKAZINI hata kama sio mchagga unaweza kuaminiwa. Nne, UDINI nadhani liko wazi zaidi kwenye kila nyanja ya CHADEMA Ukristo UMETAMALAKI, rejea kauli za MTEI, Wabunge kina SELASINI, MSIGWA , LEMA nk. WADINI maarufu hapa JF ndio wasemaji wa CHADEMA! molemo, nicholas,mnyisanzu nk.
Chama hiki kimejipambanua kuwa ni cha wachaga kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Viongozi wakuu wa juu hawakuchaguliwa kwa sifa bali ni kwa kabila lao. M/kiti, mtunza fedha akina mnyika. Makatibu wengi wa mikoa ni akina kilewo, munisi, kiwia
2. Kati ya wabunge 25 wa kuteuliwa hakuna wanaotoka mikoa ya kusini ya mtwara na lindi kama wapo tutajie
3. Asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa ni wachaga au watu wanaousiana na big fish kama vile rose kamili, dada yake lisu n.k.
4. Kwenye chadema sio tu chama cha kikabila bali ni chama chenye mwelekeo wa kifamilia.
CHADEMA ni chama KIBAGUZI,huu ni ukweli ambao haupekiki! Ubaguzi wa kifamilia (Watu wa karibu na familia wanapewa privileges wasizostahili kwa mfano ubunge viti maalum, influence ya Lema). Pili UKABILA, wachagga ni first class members kwenye chama, tizama wakina kilewo na Ben 8. Tatu UKANDA, ukitokea KASKAZINI hata kama sio mchagga unaweza kuaminiwa. Nne, UDINI nadhani liko wazi zaidi kwenye kila nyanja ya CHADEMA Ukristo UMETAMALAKI, rejea kauli za MTEI, Wabunge kina SELASINI, MSIGWA , LEMA nk. WADINI maarufu hapa JF ndio wasemaji wa CHADEMA! molemo, nicholas,mnyisanzu nk.
Muulize mzee mtei ndie mwenye majibuKuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi cha ni cha kigogo?
Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!