Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Kwa hiyo ZZK hajulikani? Hana sifa kama wewe mhehe?
 
 
Ukabila itakuwa ni kuwapendelea wananchi wa kabila lako.Kwa wanaopandikiza chuki,wanazungumzia uongozi wa chadema,na ndiyo maana nimeuliza swali lakini hadi usawa huu hamna mtu anajibu kwamba kama tukiwa na mwenyekiti mgogo basi chama kitakuwa cha kigogo?
 
Last edited by a moderator:
Wahehe subirini mkwawa arudi ndio mpate uongozi lakini cdm mmmmmhhhh
 
Huu ni uongo,uko kwenye kamati kuu?Na uliweza kuingia kwenye kikao hicho kwasababu wewe ni mchagga ama mkristo?Zitto alisema nini hadi akaambiwa maneno hayo na Mbowe?Ccm mna mpaka viongozi waganga wa kienyeji.Wengine walikamatwa wakiwanga bungeni,kwahiyo tuseme basi ccm ni chama cha kichawi.
 
Kwa hiyo ZZK hajulikani? Hana sifa kama wewe mhehe?

Zito aliikuta CDM, alijiunga nayo na alipata huo muda wa kujifunza na kujipambanua uwezo wake na aliaminiwa na uongozi uliokuwepo..aliteuliwa kushika nyazifa kubwa na aligombea pia akaaminiwa akachaguliwa na amedumu kwa muda mrefu katika nafasi hizo. Kweli kwa muda mrefu, amefanya mambo mazuri mengi. Hakupata hizo nafasi kwa sababu yeye ni Muha au Muislam au Kanda aliyotokea bali sifa na weledi aliokuwa nao. Lakini Zito sio Malaika, kakengeuka kapoteza sifa za kuendelea kuwa ktk hizo nafasi. Utaratibu mzuri kabisa wala hakuna ugomvi wala Chuki ni utaratibu tuu ukikosea unaadhibiwa.
 
Wahehe subirini mkwawa arudi ndio mpate uongozi lakini cdm mmmmmhhhh
Kwani wahehe hawana kiongozi wa chadema?Ama unazungumzia uongozi gani?Huwezi kuwa na wenyeviti 50 kwa wakati mmoja,na sidhani kama kuna taratibu za kuongoza kutokana na kabila.
 

Acha kabisa wachaga tuna kazi ndani ya nchi hii, Lipumba ni mwenyekiti wa pili wa CUF baada ya mzee Mapalala hadi sasa hamna anayehoji, achilia mbali akina cheyo, mtikila, maalim seif na wengineo wenye tiketi za kudumu za kuongoza vyama vyao lakini kosa ni kuwa mchaga!
 

Ni chama cha koo. Kuna koo za Kikwete, Malecela, Mzindakaya,Mwinyi, Kawawa nk. Mle hutamkuta Kalumanzila, Mabula, Omulangira waitu, Kiseryi, Mgonja nk, akina Masawe na Nnko kwa kuliona hili na kuanzishia mahali ambapo na sisi tupate pakujiliwazia inakuwa ni nongwa? Khaaa!
 
Ndo maana waafrika tunabaki nyuma,chuki mbaya sana.Inakwamisha maendeleo.
 
Acha kutoa maneno ya uwo moja ya katibu alyetimuliwa ambaye ni zitto si ni mtu wakigoma,na huyo dada yake lisu ni mnyaturu wa singida..slaa muiraq sasa wewe uchaga unatoka wapi hapo...ntakupa wengne bdaye.
 

Natumaini ulichokiongea hapo juu ndio msingi mkubwa wa hii mada.
Mfano: huwezi kuchagua mbunge viti maalum kutoka kusini wakati hata wanachama hawapo. Tumeshuhudia juzijuzi tu ktk harakati za m4c ndio kusini imefunguka.....kulikuwa hakuna wanaharakati wa chadema......mnaotaka kusini kuwe na wabunge wa viti maalum wangechaguliwa wanaccm/cuf. Muwe mnafikiria sio mnakurupuka tu.
Hata dini zetu tunazoziamini zina 'origin' zake, MASHARIKI YA KATI. Je, tuzikatae kwa sababu zina asili huko......
 
..kwanza siku zote hapo ndio munapo kosea hakuna chama kinacho weza kujilinganisha na ccm kwa lipi mpaka unajilinganisha na ccm..chama kinachojilinganisha na ccm kinajipa nafasi isio iweza ccm ina zaidi ya kila sifa aidha sifa nzuri au mbaya.ccm ina kila aina tofauti ya makundi lipo kundi kubwa la wasomi lipo kundi kubwa la mabumbu kama ww .lipo kundi la wadini lipo kundi la wakabila lipi kundi hata la mashoga lipo kundi la maskini na la mtajiri..sasa nyie cdm munamashoga wanahesabika mjengoni sijui muna wangapi vile? Ndio maana wabunge wa ccm wakaanza kuwagobea mpaka wakaanza kutumia waganga wakienyeji.
Musijilinganishe hata kitu kimoja na ccm nyie jilinganisheni na wenzenu cuf nccr tlp nk sio ccm mutakuwa munajidanganya
 

Umenena, jmushi.......mti wenye matunda lazima upihwe mawe!
 

kwa hiyo ccm ni ya wazanaki na wakristu?ni upambavu na ujinga kuwa namawazo ya namna hiyo.wachaga wanayo haki sawa na watz wengine,ukabila haufaidii chochote tunataka uwezo na sifa za mtu kuongoza sio porojo.mimi pamoja na wanaserengeti tunaunga mkono maamuzi ya kamati kuu.zito angelikuwa na nia njema huo udhaifu anaousema alisaidiaje kuurekebisha kama hana nia ovu ya kutumiwa na wasira kuiua cdm.
 
r.i.p Chadema tulikupenda ila mbowe na mtei wamekupenda zaidi
 
Acha kutoa maneno ya uwo moja ya katibu alyetimuliwa ambaye ni zitto si ni mtu wakigoma,na huyo dada yake lisu ni mnyaturu wa singida..slaa muiraq sasa wewe uchaga unatoka wapi hapo...ntakupa wengne bdaye.

Waambiehao wavivu wa kufikiri-wenye mawazo mgando!
 
Wewe ni Chenge ama Maji Marefu?maana umechukulia personal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…