Chama hiki kimejipambanua kuwa ni cha wachaga kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Viongozi wakuu wa juu hawakuchaguliwa kwa sifa bali ni kwa kabila lao. M/kiti, mtunza fedha akina mnyika. Makatibu wengi wa mikoa ni akina kilewo, munisi, kiwia
2. Kati ya wabunge 25 wa kuteuliwa hakuna wanaotoka mikoa ya kusini ya mtwara na lindi kama wapo tutajie
3. Asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa ni wachaga au watu wanaousiana na big fish kama vile rose kamili, dada yake lisu n.k.
Kwanza ni uongo wa hali ya juu, Mnyika sio Mchaga, pili sio viongozi wote wa juu ni wachaga! zaidi ya Mbowe na Komu...
Uteuzi wa wabubge wa kuteuliwa, kwa chadema ulizingatia mchango wa mhusika katika kura za junmla, mdio maana wanawake wengi kwenye nafasi hizo ni wale waliogombeua ubunge majimboni na kukosa, lakini kura zao na effort zao zilichangia CDM kuwa na alama za kutosha kupata wateuliwa wengi wa nafasi hizo.
Kama ni chama cha kifamilia, CCM ndio inaongoza, hata JK aliwahi kutamka kuwa URAIS wake ni WAFAMILIA, ndio maana anawatumia wanae na mke wake katika kampeni. Angalia viongozi wa CCM wote, vijana, wazazi wao walikuwa viongozi CCM, Sitta na Mkewe(mama sita), January makamba, Nchimbi, Malima, Nape, Jerry Slaa..n\a wengine wengi! Hizo sio familia, au wewe unasikiliza propaganda za Nepi nakuzileta hapa....
No research, no right to speak!