Usimlaumu kikwete suala la ubaguzi ni la ccm wote,wakati Wa mkapa wakati mrema yuko Nccr mageuzi walisema ni chama cha Wachaga,wakti Wa mkapa walisema cuf ni ya Waislam
Hili swala hata kama lilikwepo wakati ule si kwa kiwango cha sasa
Na lazima ukumbuke viongozi walilikemea kwa nguvu nyingi akiwepo mwalimu 1995
Mwaka 2010 hali ndio ilianza kuwa mbaya zaidi baada ya Ccm kuitumia dhana hiyo kurudi madarakani,Na baada ya kuhubiri ukabila na ukanda
Bado JK alikaa kimya bila kukemea,hali sasa sio shwari tena,Ni swala la muda tu hili bomu lazima litalipuka.na hakuna atakayekuwa salama pamoja na huyu JK
Kwani kile CHADEMA ambacho kina wakurugenzi wote wa Kaskazini na Wakristo ni uzao wa Kikwete?
CHADEMA ni jitahida za WAKRISTO kutaka kuhodhi madaraka yote nchini! Wamenufaika sana na CCM sasa wameanzisha upinzani pia! CCM na CDM ni baba mmoja mama mmmoja! Ona wanavyokubaliana katika kila issue DHIDI ya Waislamu Tanzania! Kama kuna muislamu CHADEMA ni MURTAD!
Moja ya hayo mengi ni kuchochea ukanda na udini hapa nchini.JK kafanya mengi ndani ya nchi hii.
JK kafanya mengi ndani ya nchi hii.
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.
Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.
Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama waanzilishi wa CHADEMA wangekuwa na agenda udini wasingemchagua Bob Makani kwa sababu yeye ni Mwislamu. ( Binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)
Pili kama waasisi wa CHADEMA wangekuwa wanaagenda ya Ukanda wasingemchagua Bob Makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
Tatu, Kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua Bob Makani kwa sababu si Mchaga.
Kitendo cha kumchagua Msukuma, Muislamu, kutoka kanda ya Shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa Mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.
Wale waliokuwa wanacheza CD ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA sasa inabidi watafute CD nyingine ya kucheza dhidi CHADEMA vinginevyo hii ya Ukanda, . ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.
Ni mawazo yangu tu.
Kuna ukweli ndani yakeKuna kanuni moja ya kumtambua mtu ambaye ni mbaguzi. Inasema hivi: Yeyote anayekuwa wa kwanza kuzungumzia udini ama ukabila ndiye mdini na mkabila namba moja. Anaujuaje?
Mtei babamkwe wa Mbowe, Mwenyekiti 1990-1997
Bob Makani shemeji yake Mtei, Mwenyekiti 1997- 2004
Mbowe mkwe wa Mtei, Mwenyekiti 2004 hadi sasa