Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Adamu malima ni mtoto wa kighoma malima
january makamba ni mtoto wa yusufu makamba
dr husein mwinyi ni mtoto wa ali mwinyi
abeid karume ni mtoto wa abeid amani karume
shukuru kawambwa ni ..................
Karamagi ni...................
Wengine wengi wote ni ccm. Je ccm ni chama cha familia? Afadhali kabila ni kubwa kuliko familia.