1: Lucy owenya ni mbunge viti maalum lakini ni shemeji wa mbunge wa jimbo la moshi mjini (ndesamburo) ambaye pia ni mfadhili mkubwa wa chama hicho.hapa utagundua kuwa cdm imeamua kulipa fadhila kwa mfadhili bila kuangalia usawa wanaoulili,je siyo unafiki?
2: grace kiwelu ndesamburo ni mb viti maalumu na ni mtoto wa ndesamburo.je cdm si ya wachaga?

we ndo nyauba kweli.....nani kakwambia Grace ni mtoto wa Ndesamburo....? acha kukurupuka.....
1: Lucy owenya ni mbunge viti maalum lakini ni shemeji wa mbunge wa jimbo la moshi mjini (ndesamburo) ambaye pia ni mfadhili mkubwa wa chama hicho.hapa utagundua kuwa cdm imeamua kulipa fadhila kwa mfadhili bila kuangalia usawa wanaoulili,je siyo unafiki?
2: grace kiwelu ndesamburo ni mb viti maalumu na ni mtoto wa ndesamburo.je cdm si ya wachaga?
Hebu angalia jinsi walivyo chaguana viti maalum...
Tundu Lissu kamleta Christina Lissu (aliwahi kuwa muuza bia Mwanza)
Dr Slaa ( kamleta mzazi mwenzie Rose Kamili)
Ndesamburo kaleta wawili Lucy Owenya (ambaye amevunja ndoa ya Bwana na Bibi Owenya na kuingilia yeye huyu ni mtoto wa kuzaa mzee Ndesamburo). Pia yupo Mkwewe Grace Kiwelu (Mke wa mwanae Ndesamburo ambaye ana kashfa Moshi ya U cameron)
Zitto kabwe kamleta binamu yake Mhonga
Mzee Mtei kamweka mkwewe Freeman
Mbowe kmuweka binti mmoja mhh(we reserve the comments)
MBAYA ZAIDI VITI MAALUM ZANZIBAR 2 WALIO CHAGULIWA NI WACHAGA NA WALE WENGINE WAWILI NI WAKE ZA WACHAGA
TUNAAMBIWA PIA MCHUMBA WA ZITTO NI MCHAGA
TUJIULIZE KWELI HIKI CHAMA CHA KITAIFA ????
Mkuu, Hivi ndio wewe unaepumliwa na Mwigulu ama tusubili mwingine?