Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Binafsi sina shida na ukabila wala mtoto wa nani kawekwa wapi,swali la msingi kwa thinker makini yoyote ni "Je wamedeliver vema kama wabunge? tuwapime kwa perfomance na sio kabila,kuleta hoja ya ukabila ni sawa na kuturudisha zama za feudalism,Hakuna hatia kwa watu wa kabila moja kuwa na nafasi za uongozi,cha msingi wanaweza na wana sifa?Kumbuka pia wale wanaokuwa karibu na wanasiasa ndio hujishugulisha zaidi na siasa,unategemea chadema waweke mgogo viti maalumu wakati hana sifa,si mwanachama hakijui chama vizuri,hii si sawa,mimi natoka kabila kubwa kuliko yote barani Africa na pengine duniani lakini siwezi kuanza kushabikia issue ya ukabila,hii ni dalili ya wivu na uvivu wa kufikiri,tujenge hoja kwa mtazamo wa kisasa na si wa ujima na ukabaila.
Ya Rwanda na Burundi yanatosha kutufundisha

 

Mmmh mkuu unajua athari za ukabila wewe? kwa haraka haraka waulize wakenya, warundi na wanyarwanda....
Kwahiyo mkuu kwako ni sawa tu kuona watoto wa wakubwa walivyorundikana huko BOT kwa mfano tu....

Kwani hao (wa kabila fulani au hao watoto wa vigogo) ndo wanasifa tu?
 
Mbona mnamsema rais kachagua mabest wake!mkuki kwa nguruwe eeehhhhh
 
Hii mbona ilishapitwa na wakati,,, tafuta nyingine
 
Hapa lazima watukane tu jamaa kawashika pabayaaaa...chama cha ukooo...alafu kumbe cdm ilikuwa ni...chaga development manifesto...mzee mtei kakifanya cha siasa....wamekwishaaaa...
 
​mlianza udini mkaja na ukabila mkaenda kwenye ukanda sasa mnarudi kwenye udini hamna jipya kamati kuu ina ina wachaga wangapi poleni sana mmeshikwa pabaya 2015 inakuja sunami sijui mtajificha wapi
 
Hizo point za ukabila umeunganisha na "big G", hazina mashiko.Kajipange tena, umeokoteza porojo mbili tatu unazianzishia thread sasa huu si uluna ni kitu gani?
 

Dr. Bilali kamweka mwanae Dr. Hassan Bilali
 

Wakati wa TANU

Nyerere aliwaleta
  1. Joseph Kizurito Nyerere(blood brother)
  2. Bhoke Munanka
  3. Etc etc

Kawawa naye akamleta mkewe Sophia kuongoza UWT

Abdulwahid Sykes naye alkaleta kaka zake Ally, Abas etc

Kwenye CCM ndio usiseme

  1. Nyerere- Charels na Rosemary
  2. Kawawa- Vita, Zainabu etc etc
  3. Mwinyi- Hussein na Abullah
  4. Msuya- Dr Matayo
  5. Malecelea- ndio hivyo tena Le MUTUZ yuko njiani
 

na yule mjinga wenu aliyeamua kumfunga mwenzie na familia nzima kwa sabab ya malaya yupi bora. nyie ndo wakuf.............r..wa.
 
mbona thread hii ina mantiki! nashangaa watu wanakwepa hoja wanakimbilia kwenye matusi. jibuni hoja ili msishushe hadhi ya JF. kusema kuwa zitto, lissu, msigwa na wengine siyo wachagga hilo siyo jibu. hoja ya mwandika thread ni kwamba viti maalum vya chadema, wamezawadiana wenyewe kwa wenyewe. kila mtu anampa hawara yake! hii inaonesha kwamba kule kubebana ambako kunalalamikiwa ccm, hata chdm kupo. then which change wil chdm bring to our country kama mambo ya ushkaji na kubebanan yapo chadema.


acheni ujuha! elezeni ukweli kwa kuwakosoa akina mbowe ili mambo haya yasijirudie. onesheni kuwa nyinyi ni kizazi kipya cha wasomi ambao hamfai kuficha ukweli. ukifika makao makuu ya chadema hadi unatamani kutapika kutokana na kuwepo watu wa mkoa mmoja! hii ni hatari kwa taifa letu. JAPO NACHUKIA BAADHI YA MATENDO YA CCM LKN SIONI CHDM KAMA CHAMA MBADALA!!!!!

ukabila utaiua chadema!!!!!!!!!!!!!!! kama chadema kina nia ya kuendeleza watu wa kabila au ukanda mmoja, BASI WALAANIWE!!!!!
 

Aseee!!!
 
Akili ya mtu dhaifu huwaza na kuongelea watu,lakini mtu shupavu huwaza na kuzungumzia namna ya kuleta mabadiliko pengine hata kwa kuomba msaada kwa watu.
 
Wana JF hili nalo ni tatizo tuache ushabiki mahaba! CHADEMA wasilete ujinga ule ule wa CCM wa kupendeleana,tujenge taifa hili kwa watu kupata uongozi kwa uwezo na taalum zao na sio kwa mjibu wa mapenzi,undugu,ukabira na ujinga wa aina yoyote ile! Mnyika ebu toa majibu juu ya hili,au ni formula ya Dr Kitila imekosea?
 
Akili ya mtu dhaifu huwaza na kuongelea watu,lakini mtu shupavu huwaza na kuzungumzia namna ya kuleta mabadiliko pengine hata kwa kuomba msaada kwa watu.

siasa infanywa na robot? sias ni watu,sasa kama Chadema nayo inafanya upuuuuuzi huo wakupeana vyeo tofauti na wapuuuzi wengine hawa CCM uko wapi? what changes do we want to achieve?
 
Anzisha chama chako uweke ndugu zako inakumaaa eheee?mbona dhaifu kaweka bandugu na bajamaa kila kona hadi vicheche vyake mbona husemi?kachambe mimavi yako huko.

wewe lazima upate ban ya forever labda mod awe ndugu yako au kabila moja ndipo usipigwe ban,matusi ya nini?!
 
Katika hali inayo onekana ni kuchanganyikiwa kutokana na chadema inavyo endesha shughuli zake za kisiasa, Ccm wanaishutumu CHADEMA kwamba ni chama cha fujo. mwenyekiti wa vijana wa ccm kawaasa wazazi wasiruhusu watoto wao kujiunga na chama cha fujo. kasema eti chadema kikisha sababisha maafa kinakimbilia kuzika na baada ya kuzika hakiwakumbuki walio achwa.
MY TAKE;
Movement for change (M4C) imewashika pabaya ccm sasa wanatapatapa kama mfa maji. kwanini wasiongee sera zao badala ya kuchafuana?. mia
 
Kumbe ndio lengo lao kuwaagiza polisi waue ili wapate la kusema ? kijana aliyeuwawa moro alikuwa wala hayuko kwenye maandamano bali anauza magazeti sasa hapo mpango umegonga mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…