Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Mkuu Lukosi,
vp mkuu umeshameza dawa!!?? Naona watu wanajitahidi kujibizana na ww!! Laiti wangejua madhara ya hizo dawa wala wasingejisumbua!!
 
Mkuu.@Chris Lukosi Kwa imani yangu mimi hakuna hata chama kimoja hapo nchini Tanzania kilichokuwa kiko Perfect.Sasa ndio wewe umeamuwa kutoka katika chama cha Chadema kwa sababu hizo 3 ulizozitowa? Je umejiunga na chama gani kingine? Je hicho chama ulichojiunga kipo Perfect zaidi ya chama ulichotoka ninaomba majibu toka kwako mkuu Chri Lukosi
 
Ndugu zangu

Kamwe sitachoka kuwaelimisha vijana wenzangu hapa jukwaani9

Leo mimi kama kiongozi wa zamani wa chadema na muasisi mkuu wa Chadema UK nakuletea sababu tatu kuu za kuiogopa chadema

No 1. Chadema ni wakabila na wabaguzi sana, mfano mzuri ni ishu ya lwakatare kutibiwa third class wakati Nassari aliejigonga pua kutibiwa first class

lwaka.jpg
images

No 2 . ni wadini

Mimi nikiwa kiongozi wa Chadema UK wakati huo nililazimishwa na Lema kuweka mkutano wa Chadema Bar bila kujali kuwa wenzetu waisilamu walikuwa wamefunga hivyo wasingeweza kuja bar kuhudhuria mkutano lakini pamoja na ushauri wote Lema alisema tuachane nao waisilamu kwani hawahitajiki chadema


IMG_4271.JPG

Matapeli

Wakati mnahangaika kuchangia M4C wao wanatumia hizo hela kwenda holiday ulaya wakati wanashindwa kutoa matibabu kwa makamanda wa juu kama lwakatare kisa eti hajatoka kaskazini
Dr Slaa kajikopesha mamilioni wakati makamanda kibao wana njaa kali hawasaidiwi zaidi ya kupewa viroba viwavuruge akili


JITAMBUE!

Historia itawakumbuka sana viongozi na wale makuwadi wa serikali ya CCM. Hapa unalotaka kuwakilisha ni hoja zile zile tu za uchochezi wa kidini na ukabila. Kiukweli kwa sasa wananchi wamejitambua sana kwa hiyo hoja hizi kwa wakati huu hazina tena mashiko.

Turufu pekee iliyobakia katika serikali yetu ambayo sio tukufu kama serikali inavyopaswa kuwa ni kutumia silaha moja tu ya mwisho ya kuifuta CDM.

Ni kuomba mungu tu watanzania waendelee kuwa wapole tu kama kondoo ili hata kama ikifutwa CDM basi wasichukue uamuzi mgumu wa kuingiza nchi katika vurugu zisizo na msingi.

Mh. Tendwa ndio anataka kufungua ukurasa mpya katika Tanzania kwani ndio atakuwa mtu wa kwanza kuichezea na kuipoteza amani ya nchi yetu Tanzania.
 
CCM wakikupa hata ujumbe wa jumuia yeyote ngazi ya kata, nahama CCM.
I swear!!!

I've a lot of of respect for you mkuu Kobello. And I understand you are aware of that. For someone like you to rebuke and snub this Chris guy says a lot.
Would you care to open up and help me to understand the reason behind your decision to snub this guy???
 
No 1. Chadema ni wakabila na wabaguzi sana, mfano mzuri ni ishu ya lwakatare kutibiwa third class wakati Nassari aliejigonga pua kutibiwa first class

lwaka.jpg
images
For what I know kuna tofauti moja ya msingi kati ya Lwakatare na Nassar. Wakati Nasar ni Mbunge ambapo nadhani Mbunge anapoumwa gharama zinakuwa chini ya bunge, Lwakatare yeye sio mbunge and so, kutokana hilo hoja yako hii inakosa uzito labda kama ungemtaja kiongozi yeyote wa CHADEMA mwenye hadhi sawa na Lwakatare lakini yeye alipoumwa alikuwa handled with First Class care.....hata hivyo, hapa pia unapaswa kuwa makini; manake mtu kama Ndesamburo hata kama asingekuwa Mbunge anaweza kutibiwa First Class kwa kutumia gharama zake mwenyewe! So, hata kama una mfano wa mwana-CHADEMA ambe sio mbunge ambae amepata kutibiwa first class ni lazima uwe na uhakika kwamba gharama zilikuwa covered na CHADEMA!

Hili la udini, sina shaka kabisa kwamba CHADEMA kama chama hakina UDINI lakini ni bahati mbaya sana wafuasi wengi wanaojinadi ni wana-CHADEMA hususani wa hapa JF wamekuwa na maoni ya hovyo hovyo sana linapokuja suala la dini! Hawa ni kawaida kabisa kuonesha chuki na kejeli za wazi wazi dhidi ya wafuasi wa dini nyingine hata kwa jambo lisilo na ushahidi.....watatukana, watakejeli na kumwaga kashfa kadhaa! Hali hii inafanya baadhi ya watu washindwe kutofautisha kati ya CHADEMA na UDINI na wafuasi wa CHADEMA na UDINI kwani unaweza kuta mtu mmoja dakika chache zilizopita ametoa post kadhaa za kuonesha ni namna gani CHADEMA kilivyo chama bora lakini dakika chache baadae mtu huyo unamkuta yupo katika kumwaga kashfa na maneno ya chuki dhidi ya dini nyingine.....hawa, wapo wengi sana kwa upande wa CHADEMA! Lakini ni ngumu sana kukuta wafuasi wa vyama vingine, hata wa CCM wenye dini ile ile ya wafuasi hawa wa CHADEMA wakiungana na wana-CHADEMA hawa katika kukashifu upande ule unaokashifiwa na wafuasi wa CHADEMA! Matokeo yake, wao ndo wepesi kulalamika kwamba shutuma za udini ni propaganda za CCM wakati maandiko ya wafausi wao linapokuja suala la dini linaakisi kile kinachoitwa Propaganda za CCM.

c.c JokaKuu
 
Last edited by a moderator:
Mnyukano mkali unaoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri ni baina ya kundi ambalo halitokei kaskazini na watu wa kaskazini(SLAA, LEMA, MBOWE, MNYIKA, n.k) wanaoamini kuwa chama kiliasisiwa kaskazini, kikalelewa kakskazini na pengine wana imani kuwa bila ya watu wa kaskazini CHADEMA hakitakuwepo tena.

Ombi langu ni viongozi wengine wa CDM ambao hawatokei kaskazini(mimi namjua HECHE peke yake kwa sababu ni ndugu yangu) waje waseme, hii nguvu waliokuja nayo akina LEMA kama zina chembechembe za u-kaskazini au la, na kama ndiyo hivyo hawaoni kama wao kuendelea kuwepo CHADEMA wanasaliti wenyeji wa mikoa kwa vile na wao wanawahitaji kuwapigania?
 
Sasa hivi mnyukano uliopo tunaoujua ni Kati ya LOWASA, SITA, MEMBE Na SUMAYE.
Hayo mengine Ni ya kwako Na Lumumba.
 
Kunachembe za ukweli ndani yake yote haya mda si mwingi yatajulikana tu lazima jipu lipasuke tu.
 
Mnyukano mkali unaoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri ni baina ya kundi ambalo halitokei kaskazini na watu wa kaskazini(SLAA, LEMA, MBOWE, MNYIKA, n.k) wanaoamini kuwa chama kiliasisiwa kaskazini, kikalelewa kakskazini na pengine wana imani kuwa bila ya watu wa kaskazini CHADEMA hakitakuwepo tena.

Ombi langu ni viongozi wengine wa CDM ambao hawatokei kaskazini(mimi namjua HECHE peke yake kwa sababu ni ndugu yangu) waje waseme, hii nguvu waliokuja nayo akina LEMA kama zina chembechembe za u-kaskazini au la, na kama ndiyo hivyo hawaoni kama wao kuendelea kuwepo CHADEMA wanasaliti wenyeji wa mikoa kwa vile na wao wanawahitaji kuwapigania?

Kweli kabisa, kuna haja ya watu kama akina Prof. SAFARI, prof. BAREGU KITILA MKUMBO, ARFI na wengine wajitokeze waseme nini hasa kiini cha mvutano huu kati ya watu wa Kaskazini(SLAA, MBOWE, MNYIKA, LEMA) na wale wasiotokea mikoa hiyo(MWIGAMBA, ZITTO n.k). Inawezekana kuna weingine wanasikilizia tu nini kitakachojiri kabla ya kuchukua maamuzi ambayo yanaweza kukiathiri chama. Ni kweli ikifahamika kwamba kuna siri ya U-kaskazini basi wale wanaoonekana kuwaunga mkono akina MBOWE hawatakwepa jina la "VIBARAKA" kwa vile kila mtu anajua vyema kazi ya vibaraka enzi za ukoloni. Hawa watakuwa wameacha kupigania maslahi ya mikoa yao kwa sababu tu ya kunyemelea nafasi za uongozi ambazo zitaachwa wazi na wale wanaoitwa kwa sasa wasaliti. Tunawajua hawa wanaotoka mikoa ya mara, Mbeya, Singida na kwingineko kama hali itafikia huko ni wazi hawana mapenzi mema na maeneo wanayotoka.
 
Sasa hivi mnyukano uliopo tunaoujua ni Kati ya LOWASA, SITA, MEMBE Na SUMAYE.
Hayo mengine Ni ya kwako Na Lumumba.

Tatizo letu humu ni wataalamu sana wa kutaka ubadilisha mada hata kama zina hoja za msingi, siyo wote wenye upofu, vichwa vya magzeti yote na mitandao ya kijamii ni LEMA, ZITTO MBOWE n.k. mnakiua chama kwa kukwepa kujadili mada ambazo zinajaribu kuwaweka kwenye mstari.
 
Mimi huwa sipendi unafiki wa kuuma maneno nasemaga siku zote kama chadema wewe unajina la masawe, john, au ukikubali kuwa mfagizi wa ofisi watakukubali. Ila kama hutoki kaskazini, jina lako ni mohamed mtoi, halafu wewe ni mhaya basi unayokazi.
 
Last edited by a moderator:
Naona hoja zimewaishia mmerudisha tena hoja yenu ya ukanda ambayo ilikwishapitwa na wakati!
 
Kale ni ka mradi ka wana kaskazini! Akina Wenje wanatumika tu kwa kuwa watu walitaka mabadiliko bila kujua kuwa akina mbowe walianzisha kijichama cha ukoo cha kusaidiana kila ifikapo x mass wanakutana kujadili mapato na matumizi nyumbani kwa mzee Mtei,lakini hayo mapato na matumizi hayajadiliwi ktk vikao halali vya chadema! So you see! Chadema ni saccos ya wachache wapiga dili tu, wengine wanaambiwa bado wanaimarisha chama! Matawi hayana hata stationary! Ukimwona m/kiti wa chadema na makatibu ngazi za matawi, wamekata tamaa kabisa ila akina Mbowe na Slaa na mademu wao wanajirusha kinoma!
 
ZITTO KABWE kigoma.Victor kimesela Manyara, SAID ARFI mpanda ALLY MZEE ALLY zanzibar SHIDA SALUM mama yake zitto Kigoma,SHEKHE Mwaipopo Mbeya
 
Back
Top Bottom