kaka kwanini hukusajili kwa alama za vidole kwq msisitizo wote ule...
mbaya zaidi airtel huwq wanatukumbusha wateja wao kuzisajili hizi lain zetu kila siku ukipiga tu simu kwa mtu kabla simu haijapokelewa unakumbushwa na mhudumu.
Akilitime, Mimi ni mmoja kati ya wanaounga mkono dharau za Airtel kwakuwa unaonekana wewe una dharau zaidi. Kauli ya kusema "Airtel wanafunga line kinyume na tamko la 'Rais wenu'" kinaonesha kiasi gani unahisi ikulu hapana mtu pale.
Hata kama humpendi, unapomuadress Rais kwa maana ya taasisi inabidi umtambue tu hakuna namna. Hapa ni sawa na mdogo/mkubwa wako akija akakukuta unafanya tofauti halafu akwambie "mbna unafanya kinyume na maagizo ya baba yako" it means unajitoa kwenye hiyo familia. Hii kauli yako itapendeza zaidi kama wewe si Mtanzania au umekosea bahati mbaya.
mimi najiuliza Airtel namba ya kitambulisho changu wamepewa na nani!? maana walikua wananitumia sms kwamba "ndugu mteja namba yako ya kitambulisho cha NIDA ni xxxxxxxxxxxxxxxx tafadhari nenda kasajili line yako"