koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,748
Wanataka kupitia pesa za airtel money kama zipo anzeni kuzihamisha kusiwe na salio la airtel money
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kupitia pesa za airtel money kama zipo anzeni kuzihamisha kusiwe na salio la airtel money
Kitendo cha T.C.R.A kukaa kimya sijui wanamaanisha nn au wanasimamia nn!
Hawa Airtel wamejiamulia tu kuwafungia mawasiliano wateja wake bila hata ya kutoa notice halali.
Niliwahi kumbishia Dada angu hivyo nae akawa anatumiwa SMS kujulishwa namba yake, akanionesha nikawa nawaza wanajuaje hawa airtel namba ya nida ya mteja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tu zimesitishwa. Wajinga sana hawaItakuwa imefungwa yakwako tu ,mbona Mimi kwangu iko poa tu,manetwork kama yote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa awamu yako yawezakuwa leombona line yangu ya airtel ipo hewani na bado sijaisajili?, isije kuwa hamjatumia hizo line zenu miezi mitatu iliyopita halafu mnalalamika bure, mnawasingizia airtel.
Sent using Jamii Forums mobile app
...Sio tu Wanamkwamisha Bali pia ni dharau ya aina yake kwa Kiongozi Wa Nchi!Inashangaza sana! Ni kama wameamua kuwahujumu watanzania.
Ni jana tu nilikuwa namsikiliza mh. Rais kuhusu kusajili line kwa alama za vdole, msg yake ilikuwa wazi kabisa kwamba
mtu asifungiwe sim kwakuwa tu hajasajili kwa alama za vidole. Ila alisema zoezi la usajili wa line liende sambamba na zoezi la usajili wa vitambulisho vya nida"
Kitendo cha T.C.R.A kukaa kimya sijui wanamaanisha nn au wanasimamia nn!
Hawa Airtel wamejiamulia tu kuwafungia mawasiliano wateja wake bila hata ya kutoa notice halali.
Wanamkwamisha mh. Rais kuleta maendeleo ktk nchi yetu! Wanastahili faini ya kufa mtu iwe fundisho kwa wengine wenye viherehere kama wao"
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona line yangu ya airtel ipo hewani na bado sijaisajili?, isije kuwa hamjatumia hizo line zenu miezi mitatu iliyopita halafu mnalalamika bure, mnawasingizia airtel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu.Kwema Wakuu,
Binafsi kwangu sio kwema kabisa, Nimekosa dili kadhaa sababu ya Kuhindwa kuwasiliana. Leo tarehe 19/12/2019 hawa AIRTEL bila ya sababu za msingi wameamua kuwafungia wateja wake ambao hawajasajili laini zao. Inashangaza kuzifunga leo wakati tarehe ya mwisho ni 31/12/2019.
Nimeshindwa kuwasiliana na watu mbali mbali ambao wananijua kupitia number hii. Na kwa kupitia number ingine imekua usumbufu kuanza kujitambulisha tena upya. Kiherehere hiki hakijulikani kinatoka wapi wakati tarehe rasmi ya kufunga laini hazijafika.
TCRA wapo tu na toka asubuhi sijaona kama wametoa tamko lolote hadharani kuhusu hii kadhia ya leo ya Airtel