Dharau: Airtel wameanza kufungia laini zisizosajiliwa

Dharau: Airtel wameanza kufungia laini zisizosajiliwa

Mbona Waziri Tayari Alisema Hazitafungiwa
Tuelewe Vp
 
mimi najiuliza Airtel namba ya kitambulisho changu wamepewa na nani!? maana walikua wananitumia sms kwamba "ndugu mteja namba yako ya kitambulisho cha NIDA ni xxxxxxxxxxxxxxxx tafadhari nenda kasajili line yako"
Niliwahi kumbishia Dada angu hivyo nae akawa anatumiwa SMS kujulishwa namba yake, akanionesha nikawa nawaza wanajuaje hawa airtel namba ya nida ya mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika kuamka leo na kukuta namba yangu imefungwa kwa kutosajili kwa alama za vidole. Nilipowaandikia kupitia ukurasa wao wa facebook kuuliza kwa nini wanafunga kabla ya tarehe 31 Desemba wamenipa jibu hili: Thanks for messaging us. We try to be as responsive as possible. We'll get back to you soon.
 
Duh!

Hilo jibu ulilopatiwa nadhani ni kutoka katika mfumo wa kimtandao na si kutoka kwa mwenye ukurasa husika.
 
Sasa hivi baadhi ya mitandao wanajiona ndio kama vile wametusua kwa ujeuri waliokua nao. Subiri wateja wawakimbie ndio utaona wanavyo tapatapa na kuanza kutoa "VIPROMOSHENI USHENZI" ili wawavutie wateja tena.
 
Wengi tumefungiwa , mimi walinipigia kunitaarifu. Wasije kutonza fedha za kufungulia, kufidia usumbufu kwao.
 
mimi najiuliza Airtel namba ya kitambulisho changu wamepewa na nani!? maana walikua wananitumia sms kwamba "ndugu mteja namba yako ya kitambulisho cha NIDA ni xxxxxxxxxxxxxxxx tafadhari nenda kasajili line yako"
Hapo ndo ushangae,mi Voda laini moja ilikuwa imesajiliwa na Voda wenyewe kwa jina la wakala,siku za nyuma,yenyewe pia ikaletewa namba za nida
 
Back
Top Bottom