Dharau: Airtel wameanza kufungia laini zisizosajiliwa

Dharau: Airtel wameanza kufungia laini zisizosajiliwa

Hivi hawa jamaa wanawaza nini? Hivi wamehakikisha kwanza kwamba wote waliopeleka taharifa wamepata vitambulisho au namba?

Sasa kama namba/ID hawatoi lengo la kufungia line ni lipi? Wanamkomoa nani na kwa faida ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom