Dharau za Serikali ya CCM sasa zimezidi; Daktari Bingwa anatakiwa kujitolea

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali!

Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea?
Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea?
Kwamba sasa serikali inataka kusambaza umaskini kwa watoto wa walala hoi!

Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Badala ya kuajiri wataalam ambao watawasaidia wananchi serikali inaamua kununua mashangingi na magari ya anasa ya bei mbaya!

Tujifunze kwa Gen Z wa Kenya muda unakwenda kasi na hapa kwetu yanakuja!

HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA WA KUJITOLEA

Kumb. Na. HB.207/327/03/50

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini unatangaza nafasi 54 za Ajira ya Mkataba wa kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: -

1.0. Daktari Bingwa Daraja la II - (NAFASI 02)

KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini MASHARTI YA AJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1

1.1 SIFA

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

KAZI

Daktari Bingwa

MWAJIRI

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

MUDA WA MAOMBI

28/06/2024-14/07/2024

ΚΑΖΙ ΝΑ ΜAJUKUMU

Kufanya kazi zote za matibabu ya Kibingwa.

Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa

Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.

Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.

Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake

Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)

Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
 
Kwahiyo wanataka ajitolee ili wawe wanampa viposho tu mwisho wa mwezi?

Uhaba upo ila kuajiri hawataki.

Na sio kuwa hawana uwezo, ni kuwa sio priority yao afya zetu. Kwanza sehemu yenyewe kusini ndani ndani huko alafu kujitoleo dah

Hii serekali kuna vitu inafanya hata mtoto wa nasari skull anajiuliza maswali
 
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali!

Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea?
Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea?
Kwamba sasa serikali inataka kusambaza umaskini kwa watoto wa walala hoi!

Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Badala ya kuajiri wataalam ambao watawasaidia wananchi serikali inaamua kununua mashangingi na magari ya anasa ya bei mbaya!

Tujifunze kwa Gen Z wa Kenya muda unakwenda kasi na hapa kwetu yanakuja!

HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA WA KUJITOLEA

Kumb. Na. HB.207/327/03/50

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini unatangaza nafasi 54 za Ajira ya Mkataba wa kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: -

1.0. Daktari Bingwa Daraja la II - (NAFASI 02)

KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini MASHARTI YA AJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1

1.1 SIFA

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

KAZI

Daktari Bingwa

MWAJIRI

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

MUDA WA MAOMBI

28/06/2024-14/07/2024

ΚΑΖΙ ΝΑ ΜAJUKUMU

Kufanya kazi zote za matibabu ya Kibingwa.

Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa

Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.

Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.

Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake

Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)

Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Unajaribu kuiamsha Gen-Z, ya Tanzania ambayo imeandaliwa kutokuhoji, ambapo hili tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu vingine huwezi kuvihoj kwenye ngazi hiyo pengine utaambiwa km umekua uondoke nenda huko ukapange soma kuhusu, ostracism, pia, human herding, (unyumbu), utanishukuru
 
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali!

Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea?
Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea?
Kwamba sasa serikali inataka kusambaza umaskini kwa watoto wa walala hoi!

Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Badala ya kuajiri wataalam ambao watawasaidia wananchi serikali inaamua kununua mashangingi na magari ya anasa ya bei mbaya!

Tujifunze kwa Gen Z wa Kenya muda unakwenda kasi na hapa kwetu yanakuja!

HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA WA KUJITOLEA

Kumb. Na. HB.207/327/03/50

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini unatangaza nafasi 54 za Ajira ya Mkataba wa kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: -

1.0. Daktari Bingwa Daraja la II - (NAFASI 02)

KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini MASHARTI YA AJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1

1.1 SIFA

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

KAZI

Daktari Bingwa

MWAJIRI

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

MUDA WA MAOMBI

28/06/2024-14/07/2024

ΚΑΖΙ ΝΑ ΜAJUKUMU

Kufanya kazi zote za matibabu ya Kibingwa.

Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa

Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.

Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.

Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake

Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)

Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

Maajabu ya Mussa serikali ya Samia kuja na program uchwara kwa jina: "madaktari wa mama."

Madaktari bingwa hao hupiga kambi kwenye hospitali za mikoa na wilaya moja baada ya nyingine, kwa danganya toto ya kuwafikishia wanyonge huduma. Leo wako huku, kesho kule.

Angalia posho zao za kujikimu na safari wanazokomba sasa. Mbona zilitosha mno kuajiri madaktari wa kutosha na wakakaa kwenye hospitali hizo huko siku zote?!

Hii nchi kila kitu ni siasa + upigaji kwa kwenda mbere?!

Kwa kufikia kutaka kuwa na mabingwa kwenda kujitolea hivi; kwa nini kwa kuanzia, mpango uchwara huu wa ulaji na hawa "madaktari wa mama" usisitishwe mara moja?

Iko kama vile serikali hii, wanatuona kama manyani tu.

Tate Mkuu, johnthebaptist, Lucas Mwashambwa kwa utambuzi.
 
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali!

Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea?
Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea?
Kwamba sasa serikali inataka kusambaza umaskini kwa watoto wa walala hoi!

Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Badala ya kuajiri wataalam ambao watawasaidia wananchi serikali inaamua kununua mashangingi na magari ya anasa ya bei mbaya!

Tujifunze kwa Gen Z wa Kenya muda unakwenda kasi na hapa kwetu yanakuja!

HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA WA KUJITOLEA

Kumb. Na. HB.207/327/03/50

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini unatangaza nafasi 54 za Ajira ya Mkataba wa kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: -

1.0. Daktari Bingwa Daraja la II - (NAFASI 02)

KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini MASHARTI YA AJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1

1.1 SIFA

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

KAZI

Daktari Bingwa

MWAJIRI

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

MUDA WA MAOMBI

28/06/2024-14/07/2024

ΚΑΖΙ ΝΑ ΜAJUKUMU

Kufanya kazi zote za matibabu ya Kibingwa.

Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa

Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.

Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.

Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake

Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)

Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Umeenda mbali sana kwa kuwataja watoto wa vigogo kujitolea. Hoja ya msingi hapa ni kwamba serikali haina uhitaji wa madaktari bingwa? Kama inahitaji nao kwanini isiwaajili hadi wakajitolee?

Je, serikali hawana pesa za kuwaajili hao mabingwa? Hizo posho za kujitolea na matumizi ya anasa wanayofanya viongozi wa kisiasa na shughuli za kipuuzi za kuzurula zurula za kina Bashite kwanini wasiyapeleke huko? Wanajua kwa mwaka wanatumia kiasi gani kwa mambo yasiyo na faida kwenye jamii?

Nchi yetu haiendelei si kwasababu haina wataalamu wala rasilimali. Haiendelei kwasababu ya dharau ya kutothamini taaluma za watu

Huu mfumo wa kukabidhi wanasiasa kufanya maamuzi ya msingi ndio unaotugharimu. Inatia kinyaa kuwaruhusu wanasiasa kuamua mambo ya msingi ya nchi

Leo ukipita mitaani huku shule zinajengwa kila sehemu kwasababu tu kuna sera ya kujenga shule kwenye kila kata.

Hawazingatii population ya eneo, hawaangalii ukubwa wa eneo, viwanja vya michezo , makazi ya watu,...kuna shule zinageukiana yaana moja upande huu, nyingine upande mwingine ilimradi tu kila diwani ajisifu amepigania shule kwenye kata yake.Hakuna maabara, library, ofisi, wao wanajali madarasa hawanashida na ubora wala ufanisi

Wanaotumia akili wangeweza kukubaliana kata hata mbili, tatu au nne ambazo nyingi zamani zilikuwa kata moja (ziko eneo moja hilo hilo) wajenge shule moja kubwa ya maana, yenye viwango na ubora, iliyokamilika kila kitu tena ya ghorofa ili kusevu eneo badala ya kupoteza hela kwa kila kata kutandaza mabanda yake halafu baada ya miaka mitano yote yameshachakaa wakati huo bado tunashuhudia shule zilizojengwa enzi za mkoloni zikiwa bado na majengo yenye ubora kuliko hizi zetu mpya!

Hapa ndipo utakapojua akili ya Mwafrika anaijua Mwafrika mwenyewe. Unasomesha wataalamu bingwa halafu unawaambia wakajitolee ndani ya nchi yako hiyo hiyo ambayo wataalamu wanazagaa mtaani wakati huo huo raia wanakufa kwa kukosa huduma yao na wanasiasa wanagonga mvinyo mtaani bila shida yoyote
 
Neno Bingwa lisikutishe

Zamani Daktari bingwa alikuwa ni yule aliyebobea mfano Prof Sarungi

Siku hizi bingwa anaingia darasani akitoka tayari ni Bingwa
Hivi hata unaelewa ulichoandika??

Kwahiyo Prof Sarungi sio bingwa aliyeingia darasani ,?

Hungary alienda kufanya nini ??

Kwahiyo kwa mtazamo wako bingwa ni anayetokea wapi?
 
Kwamba hawana hela? si afadhali wangesema ajira ya mkataba yenye mshahara kamili.

Mambo ya kipumbavu kabisa haya.
 
Hivi hata unaelewa ulichoandika??

Kwahiyo Prof Sarungi sio bingwa aliyeingia darasani ,?

Hungary alienda kufanya nini ??

Kwahiyo kwa mtazamo wako bingwa ni anayetokea wapi?
Tofautisha ubobezi na kuingia Darasani unapewa cheti

Kigwangala akitaka kuwa Bingwa anaenda tu Darasani 😀😀

Sidhani hata kama unaelewa!
 
Back
Top Bottom