Dharau za Serikali ya CCM sasa zimezidi; Daktari Bingwa anatakiwa kujitolea

Neno Bingwa lisikutishe

Zamani Daktari bingwa alikuwa ni yule aliyebobea mfano Prof Sarungi

Siku hizi bingwa anaingia darasani akitoka tayari ni Bingwa
Si Kweli, moja ya kada inayopika wataalamu vizuri ni Afya, sema tu Hospital zetu bado hazina vifaa tiba vya kisasa kutokana na ufinyu wa bajeti zetu.
 
Kuna ubobezi wa MMed bila kuingia darasani ,hospitali na kufanya tafiti?

Ndio ubobezi unakotokea.

Hii mada iko juu ya uwezo wako kuijadili utapata aibu tu[ angalia 90% ya maoni utanielewa]

Endelea kutoa updates za Lumumba tu .
Ubingwa wa kisasa unaweza kufanyiwa hata mitihani kama hao wa OUT tutusa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio nimekwambia Ubingwa wa akina Prof Sarungi, Mugaya,, Kaisi, Ngwada nk ni wa ubobezi

Kigwangala hapractice Lakini akitaka kuwa Bingwa anakuwa

Serikali Siyo wajinga kuwaambia waanze Kwa kujitolea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio hao wameitwa wakajitolee then wataajiriwa, mbona Ubongo wako una ugumu wa uelewa?!
Itoshe kusema wewe ni mwehu! Mbona wewe hujitolei? Mbona wabunge hawajitolei, Chura wa Kizimkazi ameng'ang'ana madarakani na kuuza Tanganyika mbona hajitolei? Unataka mtu asiye na kitu ajitolee!

Mwehu wewe!
 
Wewe ndiye tutusa unaandika vitu vya kusadikika!
 
Nashauri leo kwa post hii buku 7 usipewe!
Wewe unadhani hii ndio Dunia ile Madaktari wanasoma Muhimbili pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huko Uchina Wazazi Wamepeleka Watoto Kwa maelfu wamehitimu na wamerudi wako Wengine wanaimbia Nyimbo za Injili πŸ˜€πŸ˜€ na Wengine Chawa
 
Itoshe kusema wewe ni mwehu! Mbona wewe hujitolei? Mbona wabunge hawajitolei, Chura wa Kizimkazi ameng'ang'ana madarakani na kuuza Tanganyika mbona hajitolei? Unataka mtu asiye na kitu ajitolee!

Mwehu wewe!
Bwashee ulilazimishwa kusomea udaktari? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umezeekea chuoni 🐼
 
Ndugu hakuna mtoto wa kigogo ye yote aliyewahi kujitolea, wote wanapata ajira kwa vimemo! Ukweli lazima usemwe!
 
Ubingwa wa kisasa unaweza kufanyiwa hata mitihani kama hao wa OUT tutusa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
Ubingwa wa kisasa na wa kizamani upi bora,? zamani kulikuwa na procedure huwezi kuzifanya mpaka ziwe " invasive" ila leo hii procedure ya kufanya masaa 4 unafanya saa 1 je kipi bora?
Ndio nimekwambia Ubingwa wa akina Prof Sarungi, Mugaya,, Kaisi, Ngwada nk ni wa ubobezi
Ubobezi wao ulikuwa wa namna ipi??fafanua na huu wa saa hizi uko vipi.
Kigwangala hapractice Lakini akitaka kuwa Bingwa anakuwa
Kuna mahali nimesema mtu ambaye tayari ni qualified M.D akiamua kwenya kwenye ubingwa au ubingwa bobezi haiwezekani?
Serikali Siyo wajinga kuwaambia waanze Kwa kujitolea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni wajinga ndio , ukifika Botswana ikiwa ndio "chimbo" la hawa vijana walioamua kuondoka Tanzania na wachache niliowaona hapa kutoka Tanzania na mataifa mengine ya Afrika magharibi utajua vijana walioanza kwenda miaka hiyo walifungulia wengine milango na hawana mpango wa kurudi.

Nakushauri tena hii mada haitaki siasa , na iko juu ya uwezo wako kuijadili ila kama unataka mjadala karibu .
 
Wewe unadhani hii ndio Dunia ile Madaktari wanasoma Muhimbili pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huko Uchina Wazazi Wamepeleka Watoto Kwa maelfu wamehitimu na wamerudi wako Wengine wanaimbia Nyimbo za Injili πŸ˜€πŸ˜€ na Wengine Chawa

Nasimama na comment yangu: Leo no buku 7 kwako. Habari hii iwafikie Nchimbi wa Nchimbi na Makala wa Makala, kwa hakika ikiwapendeza.
 
Issue kubwa ni Tatu:
Moja: Madaktari hawatoshi kwanini tunawaacha badala ya kuwatumia ?
Mbili: Kama wanatosha kwanini tunatumia mapesa mengi ya walipa Kodi kuwasomesha ?
Tatu: Kama hawahitajiki basi ni sawa hata tukisema watoe pesa ili ndio wapate ajira its all about demand.., hatuwezi kama taifa kuwachukua tu sababu ni madaktari wakati hawahitajiki ila swali la jibu hili ni hoja namba Mbili..., Kwanini tunatumia mapesa na gharama nyingi kuwasomesha..., Kwanini tusiwa export waende nchi nyingine zenye uhaba kama sisi hatuna uhaba?
 
Manispaa tu ya mtwara ingeweza kaujiri na kulipa hiyo mishahara ya madaktari 2
 
Ni jambo gumu kwa malezi waliyokulia lakini hakuna namna inabidi tukomae kutoa elimu vinginevyo hili Taifa litakuwa mfu muda si mrefu! Kwa sasa vijana wana akili za wizi au fisi anayengojelea mkono udodoke apate kitoweo! Kwa hiyo vijana wanasubiri wadondokewe na ufisadi watoboe kama wanavyosema!
 
Neno Bingwa lisikutishe

Zamani Daktari bingwa alikuwa ni yule aliyebobea mfano Prof Sarungi

Siku hizi bingwa anaingia darasani akitoka tayari ni Bingwa
Msenge sana wewe.

MD miaka 5.

Internship mwaka mmoja .

Then masters Miaka 3 hadi 4.

Mtu awekeze elimu miaka 10 then unwambie ajitolee.

Ada muhimbili million 5 na kitu.

Then ukamlipe nusu mshahara kiuhalisia hawatapata Specialist wa kujitolea.
 
Ni jambo la kusikitisha mradi huu wa wizi unapata promotion kubwa sana! Hivi sasa hakuna hata hospitali moja ya serikali/umma inayojitosheleza kwa wataalam mbali na vifaa, badala ya wanasiasa na wataalam kujikita katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto hii wako bize kujikomba kwa mama wa Kizimkazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…