Dharau za Serikali ya CCM sasa zimezidi; Daktari Bingwa anatakiwa kujitolea

Viongozi wako bize kusomesha watoto wao na kuwatafutia ajira nzuri sisi wanataka tujitolee huoni huo ni ushenzi!
 
Wewe jamaa ni fala sana unaandika pumba.

Ajira za mwaka jana hiyo hospital ya kusaini iliajiri Dr ila hakuna aliyeomba huko wala kwenda kuripoti sasa sembuse kujitolea
 
Itoshe kusema wewe ni mwehu! Mbona wewe hujitolei? Mbona wabunge hawajitolei, Chura wa Kizimkazi ameng'ang'ana madarakani na kuuza Tanganyika mbona hajitolei? Unataka mtu asiye na kitu ajitolee!

Mwehu wewe!
Hivi kimbuzi kiuvccm akili ziko kwa maka....
 
Cha Kushangaza zaidi, subiri siku watakapoitwa kazini, hizo nafasi zote ikiwemo hao Mabingwa zitakuwa na watu.
 
Neno Bingwa lisikutishe

Zamani Daktari bingwa alikuwa ni yule aliyebobea mfano Prof Sarungi

Siku hizi bingwa anaingia darasani akitoka tayari ni Bingwa
Wewe huwa ni shoga... Unapigwa mbupu hadi mdomo. Mtu mwenye akili timamu na asiye shoga haongei kiquma hivi.
 
Mpaka hizi nchi za ulimwengu wa tatu ziwe stable kuna vipindi vingi sana vya shida na tabu bado nchi haijavipitia (japo si lazima ivipitie ila kwa namna uendeshaji wa nchi ulivyo ni lazima tuvipitoe)

Sio rahisi kua kama Scandinavia countries kesho tu hapo, bado kuna transformation nyingi twapaswa kupitia.

Mbaya zaidi hatujui twende na mfumo gani, huku tunagusa kule tunapapasa hapa tunaramba.
 
Neno Bingwa lisikutishe

Zamani Daktari bingwa alikuwa ni yule aliyebobea mfano Prof Sarungi

Siku hizi bingwa anaingia darasani akitoka tayari ni Bingwa
Kuna Hospitali y Mkoa Fulani,ukiwaona hao wanaoitwa Mabingwa ...Halafu uwalinganishe na Mabingwa " wa Muhimbili mhhhh!
 
Biblia ikasema hata mpumbavu akikaa Kimya watu wanamhesabu siku hiyo ana hekima.Kwa hiyo Kigwa ambaye hata Baraza halimtambui anaamka Tu anakuwa bingwa.Shame on you.Bora ukae Kimya Kwa vitu usivyovijua.
 
Tatizo kubwa la nchi za kiafrika zinadandia treni kwa mbele! Maendeleo yana hatua za kufuata na si kuiga hivyo hatuna budi kuainisha hatua za kufuata.
 
Tuliyaona haya mapema tukafungia vyeti mapema. Yaani nikikumbuka misuli nilipiga kwa ajili ya hio fani, naumia sana.
 
Kumbe wasanii wana umuhimu kuliko madaktari!! Hii nchi sasa imevaa chupi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…