GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nyuma mwiko hawataamini macho yaoLeo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Hamtoamini Macho na Masikio yenu Mkuu. Tunza hii Thread yangu tafadhali.Sawa muda utaongea
Timu ya 12 Kwa ubora inapata wapi NGUVU ya kuicheka timu namba 6. Ukitaja kujua ukubwa wake angalia wanavyoshangilia kusajili ' makombo' kutoka timu namba 6 Barani Afrika😁Nyuma mwiko hawataamini macho yao
Wamechafua mitaa kwa kubandika mapicha ya Chama, hakika hawa ni mazuzu kabisa.Timu ya 12 Kwa ubora inapata wapi NGUVU ya kuicheka timu namba 6. Ukitaja kujua ukubwa wake angalia wanavyoshangilia kusajili ' makombo' kutoka timu namba 6 Barani Afrika😁
Kwani aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Wao ni kama Mbwa, Nyani na Sokwe ulidhani alikosea?Wamechafua mitaa kwa kubandika mapicha ya Chama, hakika hawa ni mazuzu kabisa.
jipeni moyoLeo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Mwenzako katoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwaTimu ya 12 Kwa ubora inapata wapi NGUVU ya kuicheka timu namba 6. Ukitaja kujua ukubwa wake angalia wanavyoshangilia kusajili ' makombo' kutoka timu namba 6 Barani Afrika😁
Usiishi kwa kukariri, kila siku siyo Ijumaa, ujinga wakati wa kwenda tu.mkifungwa tu goli 5 +. mtabomoa team yote. mwakani mnaanza tena.
hii mbona ni known fact. community shield tu. mkilala na viatu . the season is overUsiishi kwa kukariri, kila siku siyo Ijumaa, ujinga wakati wa kwenda tu.
Hayo yameshapita tunaganga yajayo, usiishi kwa kukaririhii mbona ni known fact. community shield tu. mkilala na viatu . the season is over
Mwenzakpo kataoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwa
Ligi ikianza sitegemei kuona vipost vyako vya kulia lia nyau hapa.Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?