Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.

Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
 
Nyuma mwiko hawataamini macho yao
 
jipeni moyo
 
Timu ya 12 Kwa ubora inapata wapi NGUVU ya kuicheka timu namba 6. Ukitaja kujua ukubwa wake angalia wanavyoshangilia kusajili ' makombo' kutoka timu namba 6 Barani Afrika😁
Mwenzako katoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwa
 
Simba imepanic, Na kama ujuavyo huu mchezo hauitaji hasira. Unaposajili wachezaji wengi wazuri Dirisha Moja unatengeneza uwezekano mkubwa wa hao wachezaji kuwa Flop Maana si wote watapata namba na Muda wa kutosha wa kucheza, Mwisho wa Msimu utajikuta Nusu ya wachezaji uliowasajili unalazimika kuwapunguza. Sibezi usajili unaofanywa ila namna nzuri ninayoiona pamoja na simba kuwa na changamoto kubwa ilikuwa kusajili wachezaji wasiozidi Watano kwa Dirisha hili na kama mapengo yataendelea kuwepo basi waje kujazia Dirisha Dogo. Option Nyingine kwa hawa wachezaji wenye umri mdogo waliowasajili wawatoe kwa mkopo sehem flan na kipengele cha kuwa lazima wacheze kiwepo ili waendelee kukomaa baada ya Muda wawachukue.

Mwisho huwezi sajili nyota tupu katika timu yako na ukategemea kufanya vizuri moja kwa moja, Laliza uwe na watu kama kina Kibu D, Kipaji ungaunga ila juhudi kwa sana. Hawa huwa wanapigania sana timu
 
Hofu iliyopo ni juu ya uwezo wa kocha ataweza kuwatumia? Hofu iko hapo tu
 
Napoona vyura wanaponda usajili wa Simba huku hawamjui hata mchezaji mmoja tuliyemsajili nawashangaa sana.

Tukiwaambia tumesajili mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast hawataki, ni kuwaacha tu.

NB.
Huku mtaani kuna tangazo kwa Tshabalala, wadau wanasema jembe lililopelekwa kwenye nafasi yake likianza kusumbuliwa na majeraha yasiyoeleweka Tshabalala atatakiwa kutoa maelezo, safari hii wadau wamekua wakali sana hata sijui kwa nini!.
 
sasa nimethibitisha utopolo ni vichaa. Hivi we kilaza unajua simba ili kukaa hapo namba 6 ni kama kunya pale jangwani? Mbusi moja beberu nyang'au, shwain utopolo .... NIMEKASIRIKA SANA.
Mwenzakpo kataoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwa
 
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.

Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Ligi ikianza sitegemei kuona vipost vyako vya kulia lia nyau hapa.
Munasajili hapo, sifa zote kwa boss, hatusikii sifa zozote zikienda kwa Mangungu wala jaribu tena.
 
Back
Top Bottom