Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 905
- 1,002
Duh! Haya bwana.Wamechafua mitaa kwa kubandika mapicha ya Chama, hakika hawa ni MAKOLO kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Haya bwana.Wamechafua mitaa kwa kubandika mapicha ya Chama, hakika hawa ni MAKOLO kabisa.
Nilitaka nikujibu lakini nimekumbuka kauli ya mzee wangu Aden Ragesasa nimethibitisha utopolo ni vichaa. Hivi we kilaza unajua simba ili kukaa hapo namba 6 ni kama kunya pale jangwani? Mbusi moja beberu nyang'au, shwain utopolo .... NIMEKASIRIKA SANA.
Kitu ambacho Viongozi wanao Fanya usajili apo msimbazi hawafahamu Simba na Yanga/ timu zote kubwa hazina muda wa kusubiria wavulana wakomae wakuletee Makombe.Ligi ikianza sitegemei kuona vipost vyako vya kulia lia nyau hapa.
Munasajili hapo, sifa zote kwa boss, hatusikii sifa zozote zikienda kwa Mangungu wala jaribu tena.
Najiuliza Kwani walitakaje?. Basi tunawauliza Simba wamsajili Nani?.😁😁😁 Au wameumia mtandao maduka kuvunjwa?.Nilitaka nikujibu lakini nimekumbuka kauli ya mzee wangu Aden Rage
Hiyo nafasi ya 12 Simba ilishapita siku nyingi. SASA hivi iko kwenye 'single digit'.Mwenzako katoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwa
Izo ranks hazibaki ivyo ivyo milele, endeleleeni kujisahauHiyo nafasi ya 12 Simba ilishapita siku nyingi. SASA hivi iko kwenye 'single digit'.
Hawajajisahau .Ndiyo Maana unaona wanajenga kosi la vijana litakalokuja kuleta ubingwa wa CAFCLIzo ranks hazibaki ivyo ivyo milele, endeleleeni kujisahau
Kwahiyo mwaka huu mnauhakika Mangungu hatolaumiwa?Kwani aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Wao ni kama Mbwa, Nyani na Sokwe ulidhani alikosea?
Yanga anaimarisha timu simba anasuka timu upya. Hao wachache wanaosajiri yanga wasipotimiza matarajio timu haitayumba lakini hao wengi wanaosajiriwa simba wasipotimiza matarajio mambo yatabaki vile vileHawajajisahau .Ndiyo Maana unaona wanajenga kosi la vijana litakalokuja kuleta ubingwa wa CAFCL
Waliojisahau ni utopolo ambao wanajenga kosi la TASAF wakiamini Mzee Chama ataenda kuwafikisha fainali ya CAFCL .
Simba nguvu moja.Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Sishangai, watakuwa wanalipiza misimu walizokosa ubingwa.tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Wewe huyuhuyu ambaye huchelewi kugeuka? Mtu asiye na msimamo kabisa wewe. Haya Barbara alitoka Simba, umepata makombe mangapi mpaka sasa?Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Falsafa za wanyonge hizo kujifariji!Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Kwa hiyo Kwa akili zako unadhani hao wachezaji waliosajiliwa simba ni wavulana,, utakuja kushangaa sanaKitu ambacho Viongozi wanao Fanya usajili apo msimbazi hawafahamu Simba na Yanga/ timu zote kubwa hazina muda wa kusubiria wavulana wakomae wakuletee Makombe.
Project za hivyo zilimshinda mkurugenzi wa ufundi wa Fifa ndugu Arsene Wenga akiwa Arsenal miaka mingi iliyopita.