Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

sasa nimethibitisha utopolo ni vichaa. Hivi we kilaza unajua simba ili kukaa hapo namba 6 ni kama kunya pale jangwani? Mbusi moja beberu nyang'au, shwain utopolo .... NIMEKASIRIKA SANA.
Nilitaka nikujibu lakini nimekumbuka kauli ya mzee wangu Aden Rage
 
Ligi ikianza sitegemei kuona vipost vyako vya kulia lia nyau hapa.
Munasajili hapo, sifa zote kwa boss, hatusikii sifa zozote zikienda kwa Mangungu wala jaribu tena.
Kitu ambacho Viongozi wanao Fanya usajili apo msimbazi hawafahamu Simba na Yanga/ timu zote kubwa hazina muda wa kusubiria wavulana wakomae wakuletee Makombe.

Project za hivyo zilimshinda mkurugenzi wa ufundi wa Fifa ndugu Arsene Wenga akiwa Arsenal miaka mingi iliyopita.
 
Mwenzako katoka nafasi ya 30 uko mpaka nafasi ya 12 kwa miaka miwili tu na bado yupo kwenye kilele chake cha ubora wewe miaka mitatu umepanda nafasi mbili tu huku kiwango kikiwa tia maji tia maji haishtuki?. Ligi ya ndani mlijisahahu hivi hivi mshapigwa gap, CAF mlijificha kwenye kichaka cha robo fainali kichaka chenu kishafyekwa na kama haitoshi mmedongokea shirikisho naona sasa hivi mmejificha kwenye kichaka cha ranks ambacho kufikia mwisho mwa msimu huu macho kitakua kimefyekwa
Hiyo nafasi ya 12 Simba ilishapita siku nyingi. SASA hivi iko kwenye 'single digit'.
 
Izo ranks hazibaki ivyo ivyo milele, endeleleeni kujisahau
Hawajajisahau .Ndiyo Maana unaona wanajenga kosi la vijana litakalokuja kuleta ubingwa wa CAFCL

Waliojisahau ni utopolo ambao wanajenga kosi la TASAF wakiamini Mzee Chama ataenda kuwafikisha fainali ya CAFCL .
 
Mikataba mmewapa ya miaka miwili. Hii maana yake mwaka wa kwanza anazoea ligi, mwaka wa pili amewaka mkataba umeisha Waarabu na Wasouth hawa hapa. Hiyo miaka mingi inakuaje hapo?
 
Hawajajisahau .Ndiyo Maana unaona wanajenga kosi la vijana litakalokuja kuleta ubingwa wa CAFCL

Waliojisahau ni utopolo ambao wanajenga kosi la TASAF wakiamini Mzee Chama ataenda kuwafikisha fainali ya CAFCL .
Yanga anaimarisha timu simba anasuka timu upya. Hao wachache wanaosajiri yanga wasipotimiza matarajio timu haitayumba lakini hao wengi wanaosajiriwa simba wasipotimiza matarajio mambo yatabaki vile vile
 
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.

Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Simba nguvu moja.
 
Nyie kolo ngoja lingi ianze kipondo kiendelee ndo mtajua kuwa mna vichwa vyenye akili katika kusajili ama vya kubebea nywele tu.
 
we
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.

Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Wewe huyuhuyu ambaye huchelewi kugeuka? Mtu asiye na msimamo kabisa wewe. Haya Barbara alitoka Simba, umepata makombe mangapi mpaka sasa?
 
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.

Tusije Kukimbiana tu hapa JamiiForums tafadhali sawa?
Falsafa za wanyonge hizo kujifariji!
 
Kitu ambacho Viongozi wanao Fanya usajili apo msimbazi hawafahamu Simba na Yanga/ timu zote kubwa hazina muda wa kusubiria wavulana wakomae wakuletee Makombe.

Project za hivyo zilimshinda mkurugenzi wa ufundi wa Fifa ndugu Arsene Wenga akiwa Arsenal miaka mingi iliyopita.
Kwa hiyo Kwa akili zako unadhani hao wachezaji waliosajiliwa simba ni wavulana,, utakuja kushangaa sana
 
Back
Top Bottom