DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

Hata ukiandika kwa kupamba na maneno ya kanga kwako wewe hukujua mafisai ni akinanani hadi walipotajwa na Dr Slaa, Swali hivi unadhani kabla ya mwaka 2005-2008, Wezi wa mali ya umma hawakuwepo? Je walikuwa hawajulikani?

Umeona mentality ya kijjinga sana hii ndio maana wenye busara wanataka majina ili kuendelea kujiridhisha kuwa wakina nani wako upande gani; hao unaowaita mafisadi bila kutajwa leo ungewajua????!!!

Acha ujanja wa mkasi kufurahia kukata kitambaa huku ukichomolewa vidole hauna la kufanya!!!!!Majina yanatakiwa ili kujua true colours na sio political inclination au party caucus na kwa majina ni rahisi kuwabana wakija majimboni come 2015 mama mlevi weeewe!!!!!
 
Tatizo lako unadhani kujiajiri ni kukopi kile anachofanya mwenzio nadhani hapa ndiyo huwa mnakuwa waoga, kijana huwezi kukaa na kuridhika tu eti napata laki3 kwa mwezi so what? Ondoa regime hiyo madarakani ili upate unafuu wenzio wanakamua posho wizarani na agency za serikali hafu unabaki kutumbua mimacho lo!
Badilika usifikirie baishara za kujaza fremu ambazo kila kona unatazikuta jaribu kuwa tofauti, kalime hata miwa kilombero au Mtibwa, kalime mahindi, mpunga nk, kukaa mjini kusikufanye ufikiri vijijini hakuna fursa.

Unaongea tu kama chiriku hoja ni kuwa laki 3 kwa siku kama wanaona hazitoshi watajwe kwa majina tuwajue,wewe unabisha kuwa sio muhimu nikakupa mifano yooote ili ujue thamani ya laki tatu !!!!!!! Wewe unaniambia habari ya kilimo na vijijini mie????!!!!!

Nimeanza hiyo unayoita kujiajiri 2006 sijui ulikuwa wapi muda huo pilika za mijini na vijijini kupata laki tatu kwa siku unazijua???!!!!

Umegusia kilimo twende huko hivi unajua hekari moja kulima kwa tractor ni 35 mpaka 40 thou sasa fanya hesabu ujue laki tatu ni hekari ngapi???!!!!!

Shamba kupalilia kibarua analamba 15-20 thou kwa hekari moja wewe unaona 300thou kwa siku sio ishu,una shida ya akili wewe!!!!!!!Au hujui mazingira ya nchi hii??

Baldan planter inatupa mbolea na mbegu kwa pamoja inauzwa 18milion Tshs gawanya kwa laki tatu ujue hao watu wanachukua mitaji hapo ya hicho kilimo unachoongelea mjjinga wewe halafu unaleta maneno mepesi hapa ebo!!!!! Unajua boom sprayer 600ltrs inauzwa bei gani???!!!

Mkiambiwa kuwa anayesema laki tatu kwa siku hela ndogo huyo anatukana watanzania usikurupuke kutetea eti kwa kigezo cha chama sijui na kama hayo!!!!!

Usipime watu kwa ID humu fungua akili zaidi ya upeo wa keyboard!!!!!!!
 
Hata ukiandika kwa kupamba na maneno ya kanga kwako wewe hukujua mafisai ni akinanani hadi walipotajwa na Dr Slaa, Swali hivi unadhani kabla ya mwaka 2005-2008, Wezi wa mali ya umma hawakuwepo? Je walikuwa hawajulikani?

"Identification of the problem its magnitude and causative agents" ni hatua nzuri katika kutatua tatizo husika!!!!!!!

Hivi unajua athari ya mtu kutajwa kwa kashifa katika success lader???!!!!

Hutaelewa wewe hata jua likitoka magharibi!!!!!
 
Nakupa ushauri unaniita mjinga hivi unadhani mimi siyo mkulima? na unajua nilianzaje? We unawaza kulima kwa mbolea tu, haya lima kwa hiyo mbolea baada ya miaka 5-10 utaona ardhi yako itakavyokuwa. Mwambie Pandu Kificho akutajie hayo majina umalize kiu yako.

Unaongea tu kama chiriku hoja ni kuwa laki 3 kwa siku kama wanaona hazitoshi watajwe kwa majina tuwajue,wewe unabisha kuwa sio muhimu nikakupa mifano yooote ili ujue thamani ya laki tatu !!!!!!! Wewe unaniambia habari ya kilimo na vijijini mie????!!!!!

Nimeanza hiyo unayoita kujiajiri 2006 sijui ulikuwa wapi muda huo pilika za mijini na vijijini kupata laki tatu kwa siku unazijua???!!!!

Umegusia kilimo twende huko hivi unajua hekari moja kulima kwa tractor ni 35 mpaka 40 thou sasa fanya hesabu ujue laki tatu ni hekari ngapi???!!!!!

Shamba kupalilia kibarua analamba 15-20 thou kwa hekari moja wewe unaona 300thou kwa siku sio ishu,una shida ya akili wewe!!!!!!!Au hujui mazingira ya nchi hii??

Baldan planter inatupa mbolea na mbegu kwa pamoja inauzwa 18milion Tshs gawanya kwa laki tatu ujue hao watu wanachukua mitaji hapo ya hicho kilimo unachoongelea mjjinga wewe halafu unaleta maneno mepesi hapa ebo!!!!! Unajua boom sprayer 600ltrs inauzwa bei gani???!!!

Mkiambiwa kuwa anayesema laki tatu kwa siku hela ndogo huyo anatukana watanzania usikurupuke kutetea eti kwa kigezo cha chama sijui na kama hayo!!!!!

Usipime watu kwa ID humu fungua akili zaidi ya upeo wa keyboard!!!!!!!
 
Nakupa ushauri unaniita mjinga hivi unadhani mimi siyo mkulima? na unajua nilianzaje? We unawaza kulima kwa mbolea tu, haya lima kwa hiyo mbolea baada ya miaka 5-10 utaona ardhi yako itakavyokuwa. Mwambie Pandu Kificho akutajie hayo majina umalize kiu yako.

Kama mkulima au sio its up to you ila msimamo wako ndio kichefuchefu changu!!!!!!
Kama hujui crop rotation mpaka sasa uje mashambani ule shule watu wanageukia herbicides we unaogopa mbolea????!!!!!
Au hujui hata hizo harrow na chisels zinasaga udongo???!!!!

Acha watajwe kama wapo ili wajulikane wewe si huridhiki na hali ilivyo sasa ukitajiwa wanaosababisha huoni its a way forward????!!!
 
Kijana kusoma kwako ulipoambiwa hayo maneno ya kwenye research ukajua hata katika siasa itakuwa hivyo, haya alipo wataja nani ambaye ameshachukuliwa hatua za kisheria? Mbona wengi wao walienda kwenye majimbo yao na kushinda chaguzi? Usifiri kila kitu utatumia shule kukitatua, Kuondoa rushwa hakuitaji ukasomee.

"Identification of the problem its magnitude and causative agents" ni hatua nzuri katika kutatua tatizo husika!!!!!!!

Hivi unajua athari ya mtu kutajwa kwa kashifa katika success lader???!!!!

Hutaelewa wewe hata jua likitoka magharibi!!!!!
 
Hivi unaposema mimi sijui mfumo wa kulima mazao kwa mzunguko nakushangaa sana, swala hapa ni mbolea waulize wananchi wa mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Mara kwanini hawapati mazao ya kutosha, na kajifunze madhara ya mbolea iliyotumiwa miaka ya 70 na 80 katika mikoa hiyo. Acha kukariri unafikiri kusoma kwako ndiyo umejua kila kitu.

Kama mkulima au sio its up to you ila msimamo wako ndio kichefuchefu changu!!!!!!
Kama hujui crop rotation mpaka sasa uje mashambani ule shule watu wanageukia herbicides we unaogopa mbolea????!!!!!
Au hujui hata hizo harrow na chisels zinasaga udongo???!!!!

Acha watajwe kama wapo ili wajulikane wewe si huridhiki na hali ilivyo sasa ukitajiwa wanaosababisha huoni its a way forward????!!!
 
Kijana kusoma kwako ulipoambiwa hayo maneno ya kwenye research ukajua hata katika siasa itakuwa hivyo, haya alipo wataja nani ambaye ameshachukuliwa hatua za kisheria? Mbona wengi wao walienda kwenye majimbo yao na kushinda chaguzi? Usifiri kila kitu utatumia shule kukitatua, Kuondoa rushwa hakuitaji ukasomee.

Ha ha ha aaaaaaah daanh hapa natwanga maji kabisa!!!!!!!!!
Siasa bila utafiti ndio hizi mnazodanganyia wananchi masikini!!!!!!!
Hawahoji na.hapa sasa hutaki role ya applied research kwenye maisha halisi!!!!!!!

Hayo sio maneno ya research hayo yapo tu hata unapoamua kumfuata msichana kwa minajili ya mapenzi!!!!!!
 
Hivi unaposema mimi sijui mfumo wa kulima mazao kwa mzunguko nakushangaa sana, swala hapa ni mbolea waulize wananchi wa mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Mara kwanini hawapati mazao ya kutosha, na kajifunze madhara ya mbolea iliyotumiwa miaka ya 70 na 80 katika mikoa hiyo. Acha kukariri unafikiri kusoma kwako ndiyo umejua kila kitu.

Sasa kama hutaki utafiti huko shinyanga nikafanyaje????!!!!!!
Hayo mashamba "yaliyokufa" sio shinyanga tu yapo sehemu nyingi tu na chanzo sio mbolea tu kila sehemu kutegemea farming methods mashamba yanachoka na "kufa" !!!!!!!

Tafuta wataalamu wakuelekeze nini cha kufanya ili kurudia shamba lako na kupata uzalishaji!!!!
 
Yani wewe ndiye huelewi ndo maana unataoa mifano isiyoendana, kuhitaji msichana kumtongoza awe mpenzi wako hakuhitaji research kwa maisha ya sasa, akili yako ikimtamani unamwaga sera, Katika mapenzi unaanza kutamani hafu ndo unapenda sawa!

Ha ha ha aaaaaaah daanh hapa natwanga maji kabisa!!!!!!!!!
Siasa bila utafiti ndio hizi mnazodanganyia wananchi masikini!!!!!!!
Hawahoji na.hapa sasa hutaki role ya applied research kwenye maisha halisi!!!!!!!

Hayo sio maneno ya research hayo yapo tu hata unapoamua kumfuata msichana kwa minajili ya mapenzi!!!!!!
 
Yani wewe ndiye huelewi ndo maana unataoa mifano isiyoendana, kuhitaji msichana kumtongoza awe mpenzi wako hakuhitaji research kwa maisha ya sasa, akili yako ikimtamani unamwaga sera, Katika mapenzi unaanza kutamani hafu ndo unapenda sawa!

Hakuna linalofanyika mjini na watoto wa mjini bila kuoata taarifa za awali na ndio research hiyo sasa kama unasubiri kuona watu na proposal hard copy; keep waiting!!!!!
Utakula kasa mjini hapa ooonho na research sio mpaka ushike kweshenea!!!!!!
Unamjua samaki bunju????!!!! Inawezekana wewe ndio huwa unaopolewa ila sababu ni mwanaume unajiona kama unaopoa!!!!!! Acha kukurupuka eti kwa kigezo cha mapenzi ya mjini wakati unaliwa kichwa na wa wadada wa mujini unawekewa mazingira unajaa kingi unajiona hujatongoza eti maisha ya sasa!!!!!

Be warned
 
OLESAIDIMU ukimkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo zako ukioga mtoni hivi huwa inatafsiriwaje tena...! Hahaha kazi unayo ndugu yangu yangu.

Ha ha haaaa fredmlay kaka nimekusoma, thanx for your concern!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
acheni uongo nani ni mtu na mkewe mle munawasingizia ebu wataje tuone

[h=1]Mume na mke wazua balaa Bunge la Katiba[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print Email Rating
bunge.jpg
Bunge la katiba likiendelea mjini Dodoma. Picha na Maktaba

Na Waandishi Wetu, Mwananchi

Posted Alhamisi,Februari20 2014 saa 9:6 AM

Kwa ufupi

  • Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis Haji Mussa katika taarifa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari mjini hapa juzi, kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi amewasilisha majina mawili, la kwake na la mkewe, Modesta Ponera kwa ajili ya uteuzi.

SHARE THIS STORY

1
inShare​

Zanzibar/Dar. Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho kwa madai kuwa walioteuliwa katika chama hicho ni mtu na mkewe na kufanya uteuzi huo kukosa sura ya Muungano.

Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis Haji Mussa katika taarifa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari mjini hapa juzi, kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi amewasilisha majina mawili, la kwake na la mkewe, Modesta Ponera kwa ajili ya uteuzi.

Alisema NLD - Zanzibar kilianza kufuatilia taratibu za uwasilishaji wa barua tangu Desemba 27, mwaka jana kwa kumwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ baada ya kupokea maelekezo ya Ikulu ya Tanzania kwamba majina ya Zanzibar yatafanyiwa kazi visiwani na ya Bara yangepelekwa Ikulu Dar es Salaam.

Alisema kwa mujibu wa utaratibu huo, vyama vyote vyenye usajili wa kudumu vilitakiwa kila kimoja kutoa mtu mmoja kutoka Tanzania Bara na mwingine Zanzibar ili kuwa na sura ya kitaifa, lakini Dk Makaidi alikiuka utaratibu huo.

Makaidi ajitetea

Akizungumzia tuhuma hizo, Dk Makaidi alikiri kuwa Ponela ni mke wake, lakini akasema ni mwanachama wa NLD, hivyo ana haki ya kuteuliwa.

Alisema alipeleka majina manne Ikulu na kwamba upande wa Zanzibar ulitakiwa kufanya hivyo kupitia Ikulu ya Zanzibar... “Walifanya uzembe, hawakupeleka majina ya wanachama wa NLD, matokeo yake nikapeleka majina manne, tukapata uwakilishi.”

Alisema mkewe ni mwanachama wa NLD hivyo ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yoyote kulingana na sifa zake... “Wanalalamika nini hata chama tawala cha CCM, Rais Jakaya Kikwete ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mkewe Salma pia ni mjumbe wa Nec.”

Alisema Ponela kuwa mkewe hakumfanyi akose haki zake za msingi na kwamba sifa zake na elimu ndivyo vilivyomfanya Rais amteue.

Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Florens Turuka alipoulizwa alisema Ikulu haina taarifa za suala hilo lakini wanaamini vyama vya siasa vilikaa na kupendekeza majina manne na kuyawasilisha Ikulu, ndipo Rais alipoteua wajumbe mawili kati yake.
 
Back
Top Bottom