Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni
Dogo kaenda kule wamemwambia mahali million 5 wakati ilikua laki 8 kwa makubaliano ya awali.
Wanaume wenzangu ipi ni bei elekezi ya mahali? Bei hii tutaisambaza iwezekanavyo kwa wahusika pande zote ili hii scamming ya kucharge mahali kubwa ikomeshwe.
Category na mapendekezo
1)Mchumba std 4 - elf 50,000 hadi laki 2
2)Mchumba std 7 - laki 2 hadi 3
3)Mchumba form 4 - laki 4
4)Mchumba form 6 - laki 5
5)Mchumba diploma - laki 6
6)Mchumba degree ya arts - laki 7 na nusu
8)Mchumba degree ya science - laki 9
Nafungua kikao.