Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana tupunguze wakuu iwe 20KHahaaaa....wanajua kutaja vifungu hao
Mm yamenikuta wiki iliyopita siku ya kutoa mahari,Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni
Dogo kaenda kule wamemwambia mahali million 5 wakati ilikua laki 8 kwa makubaliano ya awali.
Wanaume wenzangu ipi ni bei elekezi ya mahali? Bei hii tutaisambaza iwezekanavyo kwa wahusika pande zote ili hii scamming ya kucharge mahali kubwa ikomeshwe.
Category na mapendekezo
1)Mchumba std 4 - elf 50,000 hadi laki 2
2)Mchumba std 7 - laki 2 hadi 3
3)Mchumba form 4 - laki 4
4)Mchumba form 6 - laki 5
5)Mchumba diploma - laki 6
6)Mchumba degree ya arts - laki 7 na nusu
8)Mchumba degree ya science - laki 9
Nafungua kikao.