DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

Unavyoenda kutoa mahari, ni wakati wa kampeni (inaamuliwa Kama upewe Jimbo au la 😀) Chagua msemaji rasmi, kampeni manager (MSHENGA). Halafu hayo mengine yanazungumzika. Usiogope bei itakayotajwa mwanzo bali pambaneni hadi waridhie kiasi mlichonacho.

ANGALIZO, kuna familia inaweza kuwa imekukataa wakaona njia rahisi ni kukutajia mahari kubwa
 
Mm yamenikuta wiki iliyopita siku ya kutoa mahari,
Mwanzo tulielewana vizur kabisa, siku yakuja kuchukua mahari wananigeuka tena wanataka mahari iongezeke, nikawaambia nyambafu kwani mtoto wenu anakuja na mabati, kama vp msepe mbona walinyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…