Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

Ni lini serikali yako imesambaza chakula ?
Lingekuwa hili ni swali a (Genuine question) ninge kujibu. Laiti ni kashfa kwa lengo la kuonyesha ukuu wa Nchi nyingine dhidi ya nyingine. Nitakula bati tu, ukatafute majibu mwenyewe Serikalini.

Wewe na dharau sana. Ndio maana huwa nikisema kwamba wewe sio mwafrika, na hivyo basi, huna A genuine concern kuhusu Waafrika au Tanzania per se.

Umegemea kusambaza sera na itikadi za Wazungu. Sio kosa, ila sema tu, Interest zako ni zile za Kibeberu.
 
Back
Top Bottom