Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Ile nyumba pale juu ni ya Chadema ?Tunajua chadema hizi ndio agenda zenu za kupumuliana. Chukueni huo mchele na familia zenu mkale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nyumba pale juu ni ya Chadema ?Tunajua chadema hizi ndio agenda zenu za kupumuliana. Chukueni huo mchele na familia zenu mkale.
Ni lini serikali yako imesambaza chakula ?Watoto zaidi ya milioni kumi wanalala na njaa Marekani.
Itoshe kusema, Watoto wa Kiafrika(African Americans) ndio kabisa wanalala njaa maradufu ukilinganisha na Wamarekani wengine wa kutoka ulaya. Kwanini? Mnafikiri wanawajali watoto wa DODOMA kihivyo?
Tusidanganyane
Kwanini wasianzie huko kwao? kwamba wao hawana dhiki?
Sasa likija suala la Lishe, Watanzania bora wale huu ugali na kisamvu na dagaa mara mia kuliko hivi vyakula ambavyo vimechakachuliwa na kuongezwa virutubisho. Yaani hata huko kwao kuna kampeni kabambe mashuleni watoto wasilishwe vyakula kama hivi wanavyovileta huku kwasababu vimeonekana kusababisha magonjwa mengi tu, pamoja na Utapiamlo.
Ushabiki mwingine ni wa Kishamba tu.
In short hawana ukuu wowote ule ikiwa kwamba wenyewe wanashindwa kujilisha. Ni photo op tu.
Kuna mheshimiwa anasema maendeleo yamefika pomoni. Magari yenye namba E yametamalakiView attachment 2937653
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
View attachment 2937645View attachment 2937646
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni kwa manufaa ya nani ?
Kwa mfano , Wilayani Temeke familia nyingi zinaishi kwa mlo mmoja tu tena wa ugali mkavu , Keko , Tandika , yombo , Buza , Mbagala na maeneo kibao dhiki imetamalaki , ni lini serikali ya Tanzania ilipeleka msaada wa msosi maeneo haya ? mnadhani vijana wanaosoma wana hali gani ?
Eti ushoga ! ni nani aliwaambia ushoga unaletwa na chakula ? kwa taarifa yenu chanzo kikuu cha ushoga , mimba za utotoni , maambukizi ya Ukimwi huletwa na dhiki duni ya kujikimu ikiwemo dhiki ya msosi , Tafiti kibao zimefanyika , kwanini mnaficha ? hebu kueni na huruma pokeeni chakula ili kuokoa raia wenu ambao wengi wamezeeka kutokana na dhiki .
Tunafahamu kwamba nyie mnashiba na Mara zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa .
MUNGU WABARIKI WAZUNGU
Duh..Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
![]()
Mkubwa mmoja alisemaga Dar gari nyingi zina namba E kwahiyo mambo ni supa hakuna shida !View attachment 2937653
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
View attachment 2937645View attachment 2937646
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni kwa manufaa ya nani ?
Kwa mfano , Wilayani Temeke familia nyingi zinaishi kwa mlo mmoja tu tena wa ugali mkavu , Keko , Tandika , yombo , Buza , Mbagala na maeneo kibao dhiki imetamalaki , ni lini serikali ya Tanzania ilipeleka msaada wa msosi maeneo haya ? mnadhani vijana wanaosoma wana hali gani ?
Eti ushoga ! ni nani aliwaambia ushoga unaletwa na chakula ? kwa taarifa yenu chanzo kikuu cha ushoga , mimba za utotoni , maambukizi ya Ukimwi huletwa na dhiki duni ya kujikimu ikiwemo dhiki ya msosi , Tafiti kibao zimefanyika , kwanini mnaficha ? hebu kueni na huruma pokeeni chakula ili kuokoa raia wenu ambao wengi wamezeeka kutokana na dhiki .
Tunafahamu kwamba nyie mnashiba na Mara zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa .
MUNGU WABARIKI WAZUNGU
Hatar sana. !Kuna mheshimiwa anasema maendeleo yamefika pomoni. Magari yenye namba E yametamalaki
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..View attachment 2937653
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
View attachment 2937645View attachment 2937646
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni kwa manufaa ya nani ?
Kwa mfano , Wilayani Temeke familia nyingi zinaishi kwa mlo mmoja tu tena wa ugali mkavu , Keko , Tandika , yombo , Buza , Mbagala na maeneo kibao dhiki imetamalaki , ni lini serikali ya Tanzania ilipeleka msaada wa msosi maeneo haya ? mnadhani vijana wanaosoma wana hali gani ?
Eti ushoga ! ni nani aliwaambia ushoga unaletwa na chakula ? kwa taarifa yenu chanzo kikuu cha ushoga , mimba za utotoni , maambukizi ya Ukimwi huletwa na dhiki duni ya kujikimu ikiwemo dhiki ya msosi , Tafiti kibao zimefanyika , kwanini mnaficha ? hebu kueni na huruma pokeeni chakula ili kuokoa raia wenu ambao wengi wamezeeka kutokana na dhiki .
Tunafahamu kwamba nyie mnashiba na Mara zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa .
MUNGU WABARIKI WAZUNGU
View attachment 2937653

Unaweza ukala kwa chumvi, sukari, asali , au kwa kachumbari !Ndiyo chakula chetu cha asili
Unaweza kuwa sahihi lakini mbona Raia wenu wana njaa ya kutupwa ?Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..
Tunaweza kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa ardhi ipo Tena vargin kabisa tuache unyonge..
Ni ushenzi na upuuzi mkubwa (Insanity) kusaidiwa vyakula Kama taifa laiti angekuwepo hayati JPM angewakatalia hao mabeberu...
Mbona issue ya chanjo za covid 19 imekuja ku be proven a SCAM
Kuna mengi yamesemwa na yamefanyiwa tafiti mabeberu Wana project zao kuhusu mazao kwa mfano mbegu zao za mahindi, karanga au mpunga wanazo tuletea ukipanda ukavuna usitegemee zile mbegu uzitumie Kama mbegu utapata mavuno hafifu Reference HOTUBA YA GWAJIMA SIKU YA NANE NANE (8/8/2023) unaweza kuitafuta MAANA alichimba deep
NB.
SISI SIO WA KUSAIDIWA VYAKULA PERIOD !!!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kusema kweli sisi sio nchi ya kusaidiwa vyakula..

Sifa za kijana wahovyo Ni kukimbilia matusi vs hojaWewe mbwa, keyboard hero unadhani wazungu wakitaka kukuuwa watatumia chakula? Mbona chanjo na dawa za binadamu tunategemea kutoka kwa wazungu? Chanjo zote ulizochanjwa ametengeneza mama yako? Hadi vijiti vya meno vinatoka kwa wazungu. Unafikiri wazungu wakiweka sumu kwenye chanjo na vijiti vya meno nani atabaki salama?
Acheni ujinga wa kijinga usiokuwa na tija. Nipeni hiko chakula nile na familia yangu tuone kama hamtakuja kunidoea. Mmelaaniwa nyie mbwa koko.
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.View attachment 2937653
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
View attachment 2937645View attachment 2937646
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni kwa manufaa ya nani ?
Kwa mfano , Wilayani Temeke familia nyingi zinaishi kwa mlo mmoja tu tena wa ugali mkavu , Keko , Tandika , yombo , Buza , Mbagala na maeneo kibao dhiki imetamalaki , ni lini serikali ya Tanzania ilipeleka msaada wa msosi maeneo haya ? mnadhani vijana wanaosoma wana hali gani ?
Eti ushoga ! ni nani aliwaambia ushoga unaletwa na chakula ? kwa taarifa yenu chanzo kikuu cha ushoga , mimba za utotoni , maambukizi ya Ukimwi huletwa na dhiki duni ya kujikimu ikiwemo dhiki ya msosi , Tafiti kibao zimefanyika , kwanini mnaficha ? hebu kueni na huruma pokeeni chakula ili kuokoa raia wenu ambao wengi wamezeeka kutokana na dhiki .
Tunafahamu kwamba nyie mnashiba na Mara zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa .
MUNGU WABARIKI WAZUNGU
Unaonaje hao watoa msaada wangenunua vyakula humu humu nchini kwa wakulima wetu then waka wekea izo nutrients hapa hapa nchini.....Unaweza kuwa sahihi lakini mbona Raia wenu wana njaa ya kutupwa ?
Watu wanaropoka tu, watu wana njaa kweliSio matundu ya choo tu Hadi fedha inatolewa kuwafundisha watu namna ya kunawa mikono ili kujikinga na magonjwa ya kuhara na kutapika.
Inasikitisha sanaUpo sahihi Tanzania ni masikini sana.
Tembelea maeneo ya mashamani/vijijini watu ni masikini hadi unajiuliza nini kinaendelea hapa? Watu wamefubaa wana njaa hatari.
Hata mijini vijana kwa wazee wanashinda njaa. Wamechoka hawana kitu.
Wewe endelea kula huo ugali wa muhogo na kisamvu, waache wanaotaka ubwabwa na maharage kutoka Marekani nao wale, usiwapingie na usiingilie uhuru wao.Watoto zaidi ya milioni kumi wanalala na njaa Marekani.
Itoshe kusema, Watoto wa Kiafrika(African Americans) ndio kabisa wanalala njaa maradufu ukilinganisha na Wamarekani wengine wa kutoka ulaya. Kwanini? Mnafikiri wanawajali watoto wa DODOMA kihivyo?
Tusidanganyane
Kwanini wasianzie huko kwao? kwamba wao hawana dhiki?
Sasa likija suala la Lishe, Watanzania bora wale huu ugali na kisamvu na dagaa mara mia kuliko hivi vyakula ambavyo vimechakachuliwa na kuongezwa virutubisho. Yaani hata huko kwao kuna kampeni kabambe mashuleni watoto wasilishwe vyakula kama hivi wanavyovileta huku kwasababu vimeonekana kusababisha magonjwa mengi tu, pamoja na Utapiamlo.
Ushabiki mwingine ni wa Kishamba tu.
In short hawana ukuu wowote ule ikiwa kwamba wenyewe wanashindwa kujilisha. Ni photo op tu.
😆😆😆😆Wewe endelea kula huo ugali wa muhogo na kisamvu, waache wanaotaka ubwabwa na maharage kutoka Marekani nao wale, usiwapingie na usiingilie uhuru wao.
Mtie kidole mama yako mkunduniKwani we kitobo hujui?