Tareq20
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 322
- 977
Umemjibu vizuri sana asee maadamu yeye yupo Kwa shemeji yake anapata milo 3 tena unaweza kuta ni Milo mibovu tu kazi kulala kwenye sofa anahisi watanzania wote wanakula kama yeye hapa hapa mjini ni wanafunzi wangapi wanashinda njaa mashuleni siku nzima wanashindia maji ya kandoro ni vibajia viwili vitatu hapo hujaenda bado vijijini huko ambapo ndio taabani kabisaMsipende kutukana maana hamkawii kuonyesha ujuha wenu. Hao wamarekani wanaanzaje kupeleka chakula Sudan, Somalia na hata Haiti? Kwa ujuha wako unadhani hivyo vimchele walivyotuletea ndio umemaliza kabisa akiba yao ya mchele kiasi kuwa hawawezi kusaidia nchi nyingine?
Hawa watu wanawajengea mpaka matundu ya vyoo mashuleni mwenu, unadhani wakiwa wanafanya hivyo hawaoni dhiki ya wanafunzi wanaosoma shule hizo?
Ovyo kabisa.
Amandla...
Makorokoro Bondeni usituletee hoja za kichoko hapa hao wamarekani wangeamua kukuwekea ushoga ungekua shoga kitambo sana kwenye hizo ARV unazokunywa wangeshakufanya shoga kitambo sana au hizo ARV unatengeneza wewe na Dada ako hapo Kwa shemeji yako kuna watu mnauzi sana