Lingekuwa hili ni swali a (Genuine question) ninge kujibu. Laiti ni kashfa kwa lengo la kuonyesha ukuu wa Nchi nyingine dhidi ya nyingine. Nitakula bati tu, ukatafute majibu mwenyewe Serikalini.
Wewe na dharau sana. Ndio maana huwa nikisema kwamba wewe sio mwafrika, na hivyo basi, huna A genuine concern kuhusu Waafrika au Tanzania per se.
Umegemea kusambaza sera na itikadi za Wazungu. Sio kosa, ila sema tu, Interest zako ni zile za Kibeberu.