Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Nipe connectionKenya kuna mabati ya uhakika sana na bei nafuu,sijui bongo kuna shida gani
Kwa watu walioko mpakani na kenya (rombo tarakea) ndio zinapatika hiziNipe connection
Kweeeli. Mfano Kiwanda Mwenge kinaajiri watu kugonga ncha (ends) za squire pipes zionekane zina unene mkubwa. Stipido. Chumvi hewani inazitoboa haraka sawa "Tangi bovu" Mbezi beachKwenye chuma ndo usiseme.
Jamaa wamepinguza urefu wa chuma kutoka mita6 Hadi mita Tano(square pipe,black pipe,flat bars,nondo yani Kila aina ya chuma na plates za mabati.
Ubora nao wamechakachua vibomba vyepesii, plate bati nyepesii yani ukitegeneza gate la France ndani ya miaka 2 inabidi ubadilishe. Nondo zenyewe zimechakachuliwa nondo ukiikunja inavyunjika kama ukuji mkavu.
Kiukweli hii nchi mamlaka zimejisahau sana, sasa wafanya biashara wanatumia uzaifu huo kuzalisha ma bidhaa yasiyokuwa na viwango maana hakuna wa kufuatilia.
TBS tokeni maofsini nendeni viwandani muone watu wanavyo chapisha bidhaa zisizo na ubora, hasa viwanda vya wachina.
Kenya wanajali ubora ndo maana hata Unga wa Ngano hukuti kwenye virobaKenya kuna mabati ya uhakika sana na bei nafuu,sijui bongo kuna shida gani
Rushwa na UmasikiniKwenye bati ndio tunapigwa parefu sana aisee!
Ila nilichojifunza vitu vizuri vipo sema hela yako tu.
Nilienda kununua bati kwenye kiwanda kimoja kipo hapo vingunguti kwa nyuma, yani bati la rangi migongo mipana bei sawa na ya bati jeupe ila ukishika iko kama karatasi.
Yani ile bati fundi akipiga inabidi asirudi nyuma kukanyaga tena, akirudi mle alimokanyaga mnajikunja kama nguo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo Mungu atuhurumie hatuna viongozi ila tuna takataka tu.
Ushuru wake sasa utaimba haleluya ni kukomoanaNipe connection
yaani ukiwaona na vitambulisho vyao utafikiri kichwani kiule wana ubongo. rushwa tupu.Ukiwaona TBS na vitambulisho vyao vikubwa vile unaweza kudhani wanapiga mzigo kumbe hamna kitu wao wapo kukwamisha vitu vibali na kuweka kwa malipo kwa Dollar na kuruhusu vitu feki viendelee kutumika...
Ukitaka kuleta kitu au kutoa kitu ni kutengenezewa mazingira magumu tuu mpaka unashangaa hawa jamaa vip?yaani ukiwaona na vitambulisho vyao utafikiri kichwani kiule wana ubongo. rushwa tupu.