Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

Kwenye chuma ndo usiseme.
Jamaa wamepinguza urefu wa chuma kutoka mita6 Hadi mita Tano(square pipe,black pipe,flat bars,nondo yani Kila aina ya chuma na plates za mabati.

Ubora nao wamechakachua vibomba vyepesii, plate bati nyepesii yani ukitegeneza gate la France ndani ya miaka 2 inabidi ubadilishe. Nondo zenyewe zimechakachuliwa nondo ukiikunja inavyunjika kama ukuji mkavu.

Kiukweli hii nchi mamlaka zimejisahau sana, sasa wafanya biashara wanatumia uzaifu huo kuzalisha ma bidhaa yasiyokuwa na viwango maana hakuna wa kufuatilia.

TBS tokeni maofsini nendeni viwandani muone watu wanavyo chapisha bidhaa zisizo na ubora, hasa viwanda vya wachina.
Ukiuziwa bidhaa feki hiyo ni zaidi ya zali. Hapo unabeba hiyo bidhaa unabeba risiti unakwenda mahakamani unafungua kesi ya utapeli, unakwenda TBS inawaripoti unakwenda kwenye social media unawatangaza kuwa ni matapeli na unapost video na risiti zao kila kitu uone kama hawatakutafuta na offer ya kukupa bidhaa halisi.

Tatizo mnawachekea.
 
Pia kabla ya JPM kuwa Rais. Kuna Wahindi walikuwa wana Supply Jeshini TATA IRON SHEET. Hizi bati hazipauki. Ila naona kwa sasa hazipo tena Tz. Ni bati pana, na G28 kama chuma. Zina ubora ALAF hasogei.
 
Ukienda kiwandani usiende kizembe wakizingua wawashie moto ile ya kibabe hadi washike adabu.
Mkuu hakuna jeshi la mtu mmoja liliwahi kupigana vita likashinda "mark my words".

Hapo utaonekana umechanganyikiwa au mFF unit yaani mleta ghasia mahala pa kazi na kisha kusakiziwa kibano.

Mbona kuna protoko za wazi na zinazojulikana kudili na ushenzi wa "kabila" hiyo?
 
Kenya kuna mabati ya uhakika sana na bei nafuu,sijui bongo kuna shida gani
Watanzania tuna shida ya uongozi mkuu, kuanzia juu kbs mpaka chini kabisa,
-Rushwa inatafunwa kuanzia mjumbe wa nyumba 10 mpaka the top!
-Tabia ya viongozi kupuuza mambo au kutokufatilia kbs( kikubwa mshahara unaingia na maisha Yao yanawaendea vzr) hawana muda wa kutatua changamoto za wengine labda waguswe ndo utaona wanatoa mimacho kodo
-RUSHWA RUSHWA RUSHWA RUSHWA
 
Ukiuziwa bidhaa feki hiyo ni zaidi ya zali. Hapo unabeba hiyo bidhaa unabeba risiti unakwenda mahakamani unafungua kesi ya utapeli, unakwenda TBS inawaripoti unakwenda kwenye social media unawatangaza kuwa ni matapeli na unapost video na risiti zao kila kitu uone kama hawatakutafuta na offer ya kukupa bidhaa halisi.

Tatizo mnawachekea.
Unatafuta kifo wewe! Wale watu wanakula na wakubwa wa huko idarani na usifikiri hao TBS hawajui kinachoendelea.

Unaweza kupinduliwa kesi ukashangaa wewe ndo unashitakiwa kwa kuichafua kampuni then ukadaiwa fidia ya billion 50🤣 fanya masihara na hii nchi Nini???
 
Back
Top Bottom