ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Mm naamini kabisa hata wewe ukipewa uongozi wowote ule utakuwa janga tu.tanzani hii watu waadilifu wawili tu hayati mwl nyerere na tundu lisu tu.Watanzania tuna shida ya uongozi mkuu, kuanzia juu kbs mpaka chini kabisa,
-Rushwa inatafunwa kuanzia mjumbe wa nyumba 10 mpaka the top!
-Tabia ya viongozi kupuuza mambo au kutokufatilia kbs( kikubwa mshahara unaingia na maisha Yao yanawaendea vzr) hawana muda wa kutatua changamoto za wengine labda waguswe ndo utaona wanatoa mimacho kodo
-RUSHWA RUSHWA RUSHWA RUSHWA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app