Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

Kweli wanaweza kukuoka kama samaki. Usidhani wakubwa hawajui na ndiko wanapate pesa ya kusomesha watoto wao Uraya
 
Hivi vimacho madogo (Chinese) ni viharibifu sana, wakivamia nchi wakakuta viongozi wake wamelala au wapenda Rushwa ujue mmeisha. Karibia takataka zote za hovyo zinazo zalishwa ama kuingizwa nchini wao ndo wanahusika.

Wana viwanda vya kuzalisha bidhaa zisizo na ubora Kila Kona ya Dar, mpaka majumbani unakuta wametengeneza mitambo wanazalisha bidhaa fake
 
vitu vingine tumia akili,, Bei inatosha sana kukuambia quality ya product, halafu kuna wataalam, shida wabongo mnaleta ujuaji na ubahili wakati ungemtumia mtaalam ungempa ganji ya usumbuf lakini ujuaji mwisho wa siku unawatia hasara na hambadilikiii. hata TBS wananunulika na mihuri yao jiongezeee
 
iliwahi kutokea sehemu gani hiyo drama yako bongo???
 
Hakuna asiyejua kuwa cheap is expensive,unafikiri kuna mtu ambaye angependa kununua kitu kama bati ambalo ndio linaenda kufunika nyumba au pango lako unalokwenda kuishi maisha yako yote halafu lije kuvuja baada ya muda mfupi?watu wanaelewa kuwa hayo mabati ubora wake ni mdogo,lakini ni bora yatamsaidia kuvuta muda wa maisha yake akiwa kwake kuliko kujidanganya kusubiria upate hela ambayo hutakuja kuipata na ukakosa nyumba ya kuishi ya ndoto yako maisha yako yote...
 
what is your point idiot???
 
Kama unataka bati kweli ni ALAF, bei zake peke yake zinakupa majibu kwa nini ni ghari.
 
Kama unataka bati kweli ni ALAF, bei zake peke yake zinakupa majibu kwa nini ni ghari.
Kwa hiyo Alaf wanapiga mihuri ya moto kuonyesha gauge au kiwango @ bati. Lakinu yanapauka miaka michache na upana wake ni mdogo.
 
Ukitaka bati la uhakika agiza kutoka south africa.
 
Kwa hiyo Alaf wanapiga mihuri ya moto kuonyesha gauge au kiwango @ bati. Lakinu yanapauka miaka michache na upana wake ni mdogo.

Kwa hiyo Alaf wanapiga mihuri ya moto kuonyesha gauge au kiwango @ bati. Lakinu yanapauka miaka michache na upana wake ni mdogo.
Kitu hicho hapo kimenyoka vizuri kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20230901-152925.jpg
    51.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230901-152848.jpg
    33.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230901-152908.jpg
    52.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230901-152939.jpg
    25.7 KB · Views: 6
Kwa hiyo Alaf wanapiga mihuri ya moto kuonyesha gauge au kiwango @ bati. Lakinu yanapauka miaka michache na upana wake ni mdogo.
kuhusu upana sijui, ila kupauka kwa bati za ALAF ni Big No
labda kama ulichukua kwa wakala hewa
 
Wenye kulisimamia hilo ndiyo wenye hisa huko usitegemee kama watalifanyia kazi, ukitaka kuamini chukua bati la Galco la mwaka 80 la gauge 28 linganisha na 28 ya sasa utagundua kuwa ni takataka
 
Na Bado TBS ipo na ina Watumishi

Nchi hovyo sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…