Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

Mm naamini kabisa hata wewe ukipewa uongozi wowote ule utakuwa janga tu.tanzani hii watu waadilifu wawili tu hayati mwl nyerere na tundu lisu tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna fundi mzoefu aliwahi niambia badala ya kununua G30 za bongo ni heri nitumie G32 bati za Uganda.

Nikaona miyeyusho kumbe alikuwa na hoja!

NB:Bati za Uganda zinaingia maeneo ya Kanda ya Titi na ndiyo kimbilio la Pangu Pakavu.
 
Ni vizuriii unaponunua uulize specs usichague tu vya bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…