Unajua saa ingine muwe mnajitambua.
Acheni propaganda zenu za kijinga.
Haya mashirika yote ya habari kimataifa yanao wawakilishi wao hapa nchini.
Na wao wanaishi kitanzania,inapotokea issue kama hizi na wao ndio kipindi chao cha kupona.
Kampeni za vyama vya upinzani nchini kwa sasa ni genge chafu lililojipanga kuiharibia serikali ya Magufuli ili itoke kwenye mstari.
Hii inajumuisha sio wanasiasa wa upinzani au wa ndani ya ccm tu.bali wale wote walioathirika ma utendaji wa magufuli wa luziba mirija yao yote ya vipato haramu.
My tak.
hapa ni kwamba hawa wanaoripoti habari hizi wengi ni watu walioishawekwa kimkakati ovu zaidi,ili kutimiza malengo yao rasmi.
Hivyo suala la ooh sijui habari imetinga sijui aljazeera and so and so...
Mnaofurahia ni walewale wahuni wa genge membe na kina zitto na hao walioharibu zanzibar na kuhamishia siasa chafu za huko kuja bara (kuharibu mashamba).
So hii sio issue.