Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

Tuliza kipago binti, nani ahame, tutabanana hapahapa tutamwaga mboga, tutapoteza wote, Siku inakuja
 

Mimi naamini kabisa kuwa hata ulichokiandika wewe mwenyewe hapa hukiamini na hapo ulipo ukijisoma, lazima utakuwa unajicheka mwenyewe!!!
 
Ccm bila kufanya hivo itakufa.siasa za hoja haiwezi tena
 
Ccm bila kufanya hivo itakufa.siasa za hoja haiwezi tena
Hoja na vitendo, nikukumbushe tu awamu hii ni ya vitendo zaidi, na vishindo vyake vimeua kabisa dalili za hoja zozote toka upinzani dhaifu.
 
We endelea kujitoa akili
 
Unajua saa ingine muwe mnajitambua.
Acheni propaganda zenu za kijinga.
Haya mashirika yote ya habari kimataifa yanao wawakilishi wao hapa nchini.
Na wao wanaishi kitanzania,inapotokea issue kama hizi na wao ndio kipindi chao cha kupona.

Kampeni za vyama vya upinzani nchini kwa sasa ni genge chafu lililojipanga kuiharibia serikali ya Magufuli ili itoke kwenye mstari.
Hii inajumuisha sio wanasiasa wa upinzani au wa ndani ya ccm tu.bali wale wote walioathirika ma utendaji wa magufuli wa luziba mirija yao yote ya vipato haramu.

My tak.

hapa ni kwamba hawa wanaoripoti habari hizi wengi ni watu walioishawekwa kimkakati ovu zaidi,ili kutimiza malengo yao rasmi.

Hivyo suala la ooh sijui habari imetinga sijui aljazeera and so and so...

Mnaofurahia ni walewale wahuni wa genge membe na kina zitto na hao walioharibu zanzibar na kuhamishia siasa chafu za huko kuja bara (kuharibu mashamba).
So hii sio issue.
 

Huwa sijui mnaposema kujadili matukio mnamaanisha nini. Hebu tuonyesheni mada za ccm wakikata nondo huku wapinzani wakijadili matukio. Maana wote tuko kwenye nyuzi hizi hizi tena zina page kibao. Hizo zenu huwa mnazijadalia wapi?
 
Hivi unalia , unalalamika au unaeleza ?
 
Hamjajifunza hata kwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar mlipo wasusia ccm wakala mboga na ugali wote huku nyie mkibaki mmewakenulia meno wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…